Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,446
Hajasema Tecno kasema Toshiba soma post za watu vizuriduh, siku izi kuna flash za tecno?
Hajasema Tecno kasema Toshiba soma post za watu vizuriduh, siku izi kuna flash za tecno?
Mpe mototo achezeelakini hata ukiweka file la MB 200 inagoma kufunguka
Jitahidi uwe makin kasema TOSHIBAduh, siku izi kuna flash za tecno?
utakua tecno fan sio bureJitahidi uwe makin kasema TOSHIBA
Hapana mkuu nina mkubwa wake xiaomi Ni 5utakua tecno fan sio bure
Flash yako ni aina gani?Wakuu mm nina ya kwangu nikiiweka inataka niformat na nikitaka kuformat inaniambia device is protected...msaada wenu wakuu
Ni tatizo sawa na hilo la write protection. Kama siyo sandisk kuna software zinatoa, sandisk ni ngumu.
Software gani mkuu???Ni tatizo sawa na hilo la write protection. Kama siyo sandisk kuna software zinatoa, sandisk ni ngumu.
Mkuu umejaribu low level formatting?Mimi Nina issue tofauti kidogo!!
Kuna flash na memory card orginal za class 10 ila walionipa wameweka video flan hambazo hawataki zifutwe .
Sasa nimejaribu njia zote kuziformat ili nitumie kwa mambo mengine lakini hazikubali pia ukizifuta video hizo zinakuwa deleted ila ukichomoa na kuchomeka flash zinarudi.
Je teknolojia gani imetumika hapa na namna gani naweza kuufyatua huu mtego?
CC Chief-Mkwawa Joe Nyandigira Njunwa Wamavoko Mwl.RCT na expert wengineo