hamna namna ya kuirepairUmepigwa. Tupa. Kama umenunua duka linaloeleweka na ulipewa risiti karudishe, upewe hela yako. Wala usihangaike nayo. UMEPIGWA!
acheni utani bwanaMakanjanja iyo
TOSHIBABrand gani?
Yaani hiyo actual size imezidi sana 1Gb inayozidi geresha kufurahisha macho ya mtejaacheni utani bwana
Nakazia kusema kua umeibiwa.hamna namna ya kuirepair
lakini hata ukiweka file la MB 200 inagoma kufungukaYaani hiyo actual size imezidi sana 1Gb inayozidi geresha kufurahisha macho ya mteja
Ndo hivyo mkuu nilitoa mfano tulakini hata ukiweka file la MB 200 inagoma kufunguka
OTG hapo sijakuelewa mkuuNakazia kusema kua umeibiwa.
Flash za hivyo hua zina idadi fulani ya mb ikizidi haiwezi kuplay hicho kitu. Nyingi ni zile unanunua kwenye mataa au bar au KKoo unaulizwa unataka ya kawaida au original.
Kama unahisi tunakudanganya na uko tayari kubahatisha. Tafuta waya wa OTG uwe na simu yenye uwezo.
Mfano Tecno j8 kupanda juu, Tecno c5 kupanda juu au tecno h6.
Chomeka flash kwenye otg kisha chomeka OTG kwenye simu. Iformat flash ikikubali kufanya kazi bahati yako
hapanaUnajua kuangalia kama disk in partition?
huo waya ninao kumbe ngoja niutafute
Kama uko na pc yako nenda kwenye sehema ya disk management iko kwnye administrative tools sehemu ya disk partition hakikisha umechomeka flash na unajua jina au herufi yake,drive letter unagalia kama ni helath partition an kama kuna unallocated memory na kama format in exfat.Halafu urejee kwa hatua inayofuatahapana