Mjusi na Panya kutembea ukutani bila kuanguka, Sayansi gani iliyopo hapo?

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
726
476
Nastaajabu kumuona mjusi na panya kuwaona wakitembea juu ya ukuta kwa madaha bila kuanguka sometimes mgongo chini tumbo juu kwa kweli nahitaji kujua nini kinawafanya wawe hvyo mm kila nikijaribu kutembea kama hvyo naanguka
karibuni wadau mtupe somo
 
NILISIKIA KWENYE NAJUA WAJUA YA JAHAZI KUWA MIGUU YA MJUSI KUNA BAADHI YA MATERIALS AMBAYO HUTUMIKA KUTENGENEZEA GUNDI

KAMA ILIVYOKUWA RED BULL KUNA SPERMS ZA BULL

SASA SIJUI KAMA NI KWELI
 
Nastaajabu kumuona mjusi na panya kuwaona wakitembea juu ya ukuta kwa madaha bila kuanguka sometimes mgongo chini tumbo juu kwa kweli nahitaji kujua nini kinawafanya wawe hvyo mm kila nikijaribu kutembea kama hvyo naanguka
karibuni wadau mtupe somo
Jitu la milaba minne mbona unarudia thread?

Nakumbuka ulishaileta thread kama hii na mkuu Mwandwanga ali comment kinanmna anavyojua yeye..

Hebu Mwandwanga njoo huku
 
Nastaajabu kumuona mjusi na panya kuwaona wakitembea juu ya ukuta kwa madaha bila kuanguka sometimes mgongo chini tumbo juu kwa kweli nahitaji kujua nini kinawafanya wawe hvyo mm kila nikijaribu kutembea kama hvyo naanguka
karibuni wadau mtupe somo
Ni sayansi ya pressure differential mkuu. Hamna magic.
 
Nikiwa mdogo kati ya std 4 au 5 nilikuwa nimekaa kwenye chumba ambacho hakina ceiling board, sasa kuna panya wakawa wanakimbizana huko kwenye makenchi naona gundi zao zikawaishia wakanidondokea mmoja kichwani mwingine kwenye paja. Nilichanganyikiwa sana
 
Ukiwa na attachments au chochote kinachoweka kushikilia uzito wako against force ya gravitational basi utakaaa hata juu chini.

Uzito wa panya mende mjusi na wengine wadogo hufanya atatchmnts zao ziweze kuwashikilia

Kun vifaaaa maalum vilivyo na nguvu ya kukushikilia ukivivaaa unaweza tembea kwenye vio au ukuta kama hao wadudu
 
Sheria za Tanzanian naona kama za makaratasi .....mtu kama huyu yupo huru tuu kutukana kama sheria zipo kweli huwa hawaoni haya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom