Acha hizo propaganda. Amekuambia kwamba aliomba ruhusa ccm akaruhusiwa? Wewe vipi? Mngekuwa na democrasia ccm mngewaua kina Kolimba, Kombe, Sokoine, Mgimwa, Kibona, na kina mwangosi? Mtaona soon kinachokwenda kutokea kwenye chama chenu hicho cha kigaidi. Chama kilichokataliwa na Watanzania kinachoishi kwa msaada wa nguvu ya polisi!.
Ninaenda nitarudi tena nikupe habari usizopenda kuzisikia japo unazifahamu!.
[/QUOTE]Unalinganisha vipi uwepo wa demokrasia ndani ya CCM na CHADEMA. Imagine huyo mbunge angekuwa wa CDM angeitwa majina yote mabaya na kudaiwa kuwa amehongwa na adhabu yake ni kuvuliwa uanachama. Nadhani CCM imeonesha ukomavu na ustahimilivu wa kisiasa kwa kuruhusu wabunge wake kuwa na misimamo yao tofauiti na CDM ambako ni lazima ufuate msimamo wa chama hata kama unauona siyo sahihi!!!!!!!!!!!!!!!!!!![/QUOTE]