Wabunge wengi wa ccm akili zao wamezikabidhi kwa mwenyekiti wao ziwekwa kwenye kibuyu pale magogoni hapo dodoma wameachiwa kidogo tu za kuvukia Barbara na kuzomea tu.
Kuna baadhi ya watu hata somo la hesabu lilikuwa baba mkwe au mama mkwe huko mashureni walipokuwa wanasoma maana mtu anasema unapounganisha namba mbili unapata moja hivi kwa kawaida kitu kimoja na ukiunganisha na kimoja natumaini unapata viwili. Na ndiyo jawabu
unadhani wote walio bungeni wamekwenda kwa sala la katiba...Njaa mbaya, wengi wana saka tonge...ukiingia ndani ya mawazo yao wanapiga total bunge likiisha watakuwa wame make kiasi gani