Juliana Shonza
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,009
- 1,607
Wanaopigania Katiba walibaki bungeni kwenye bunge la katiba! Hawa UKAWA uroho wa Madaraka ndio umewasukuma kuunda huu umoja feki, usiokidhi viwango vya kisheria.
UKAWA ni unafiki..
...moto wa ukawa umewalamba mpaka wanaweweseka.na mamluki wote watajulikana tu...
Kila mwenye wazo tofauti na ninyi ni mamluki. Huu ugonjwa CHADEMA ndio mmeuleta UKAWA.
we kama hela zako unapata mpaka umbembeleze juniour alale usifikiri kila mtu ni hausigeli kama wewe mbeba sumu ben saanane
Kila mwenye wazo tofauti na ninyi ni mamluki. Huu ugonjwa CHADEMA ndio mmeuleta UKAWA.
Lipumba ameisusa ukawa..pesa za wafadhili wa ukawa zimeliwa na mbowe na slaa
tatizo la Vijana wa bavicha ni matusi.,chochote unachopost hapa wao hata kusoma hawasomi kazi kutukana tu. wanatumwa kutukana ili waandikiwe posho zao Ufipa.
pesa ya ukawa mbowe na slaa wameshafanyia starehe, misukule yao kama wewe mnapiga miayo tu