Mjumbe wa Baraza Kuu CUF ajiuzulu; Awatuhumu viongozi wake ( UKAWA Effect)

Hivi umeshindwa kabisa kujadili bila matusi , Kashfa na Kejeli? Mnaidhalilisha zaidi CHADEMA huku mkidhani mnaitetea.

Hivi kuna mtu wa kujidharilisha zaidi yenu misukule mnaokataa katiba ya wananchi na kutokwa povu hapa kutetea katiba ya mainterahamwe kutoka mafichoni?
 
Chadema inahusika vipi hapa kuhusu hiyo thread??think big na acha utoto...Chadema inawakosesha usingizi nyinyi vilaza

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kwani kuna tofauti kati ya CHADEMA na UKAWA? soma hiyo thread vizuri kabla ya kukimbilia kumwaga matusi.
 
kwa taarifa yako mimi si mkazi wa Geita na sina ndoto za kugombea uongozi wa aina yoyote.jipange upya dogo!

stress za maisha zitakuua.. umeshikiliwa akili zako ufipa... tafuta hata vibarua vya kuvua dagaa ziwani
 
Hivi kuna mtu wa kujidharilisha zaidi yenu misukule mnaokataa katiba ya wananchi na kutokwa povu hapa kutetea katiba ya mainterahamwe kutoka mafichoni?

Waliokataa katiba ya wananchi ni wale waliotoka nje ya bunge la katiba.
 
Hivi kuna mtu wa kujidharilisha zaidi yenu misukule mnaokataa katiba ya wananchi na kutokwa povu hapa kutetea katiba ya mainterahamwe kutoka mafichoni?

katiba ya misukule ya kuvunja.muungano ndio unaita ya wananchi?
 
stress za maisha zitakuua.. umeshikiliwa akili zako ufipa... tafuta hata vibarua vya kuvua dagaa ziwani

Au aje huku Arusha tumpe hata vibarua vya kupalilia mashamba ya maharage, kuliko kujidhalilisha hivi na kutukana watu asiowajua.
 
Chadema inahusika vipi hapa kuhusu hiyo thread??think big na acha utoto...Chadema inawakosesha usingizi nyinyi vilaza

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

chadema imeshapotea imebaki ukawa ..
 
Kwani kuna tofauti kati ya CHADEMA na UKAWA? soma hiyo thread vizuri kabla ya kukimbilia kumwaga matusi.

Wewe ndio ambaye hujaisoma hiyo thread,kaa utulie uipitie tena na uje ku comment.kama huyo mtu ni wa Chadema sawa.ila why Chadema??

Hivi kuna utofauti kati ya Cuf na Ukawa??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mbona jamaa mwenyewe aliejiuzulu anaonekana kachoka sana tena ukute hapo hata tea na msosi wa mchana alikuwa bado hajapiga.
 
Au aje huku Arusha tumpe hata vibarua vya kupalilia mashamba ya maharage, kuliko kujidhalilisha hivi na kutukana watu asiowajua.

kweli kabisa mkuu.. aje arusha tutamuombea hata kibarua cha kuchuma kahawa kwenye mashamba ya mtei pale tengeru
 
Wewe ndio ambaye hujaisoma hiyo thread,kaa utulie uipitie tena na uje ku comment.kama huyo mtu ni wa Chadema sawa.ila why Chadema??

Hivi kuna utofauti kati ya Cuf na Ukawa??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Misukule ya CHADEMA ndio imekuwa vinara wa kutukana watu kwenye thread hii, ikiwa ni pamoja na kumshambulia mleta mada kwa matusi na kila aina ya udhalilishaji!
 
Back
Top Bottom