Swali la msingi kweli,nilitegemea hawa magamba waje na taarifa za kujenga chama ila kila kukicha UKAWA,hapa ndipo napoamini kifo cha ccm kimetimia..Dada Juliana mambo vipi CCM kuna lolote jipya zaidi ya ishu za UKAWA? Mbona huleti taarifa za ziara ya Katibu Mkuu au wewe hiyo siyo kambi yako?
Nyota zao zinang'arishwa chadema uko ccm wamekufa,wanatamani kurudi ila wameshakuwa matapishi..Kwani wewe siku hizi umekuwa msemaji wa vyama vya upinzani?,maana kila jambo la upinzani likitokea wakwanza kuandika,mbona hayo ya CCM huandiki?
[COLOR=#37404E said:
Hela za kufanya Press ametoa wapi ?
Mjumbe wa Baraza Kuu na Katibu wa CUF wilaya ya Lindi ndugu Abubakar Taher amejiuzulu nyadhifa zake katika chama hicho kuanzia leo tarehe 21st May 2014, kwa kile alichokieleza kuchoshwa na ubabe na uvunjaji wa katiba unaofanywa na Mwenyekiti wake Ambae pia ni Mbunge wa Lindi Mjini Salum Barwany pamoja na uongozi wa Juu wa Chama hicho.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya kuwepo kwa mgogoro ndani ya Chama hicho hasa juu ya mwenendo wa Mwenyekiti huyo na viongozi wa Taifa wa Chama hicho. Miongoni mwa mambo ambayo Katibu huyo ameyataja ni pamoja na Uongozi wa Juu wa Chama hicho kupoteza muelekeo kwa kujiunga na Vyama vingine vya upinzani ambavyo tayari viliwatenga hapo kabla na kwamba kwa udhalilishaji na jeuri kubwa iliyoonyeshwa na viongozi wa Kambi ya upinzani bungeni haikuwa busara na ni kukosa msimamo na kujishushia hadhi kwa viongozi wakuu wa Chama hicho kuendelea kushirikiana na Chadema baada ya kejeli na udhalilishaji huo.
View attachment 159649katibu wa CUF Ndugu Abuubakar Taher aliyejiuzulu.
Tabia ya Viongozi wakuu wa Vyama vya upinzani kuhamishia na kujisahaulisha matatizo ya ndani ya vyama kwa kushirikiana na vyama vingine ambavyo navyo vinatumia mbinu ya muungano usio na Anuwani unaitwa UKAWA. Kwa tabia hii ya Viongozi wa juu wa Vyama vya siasa vya Upinzani kutumia UKAWA kama ngao ya kujihami na kujisahaulisha na Changamoto za ndani ya Vyama vyao itasababisha vyama hivyo kusambaratika kabisa.
Katika press yake aliyoifanya leo mjini Lindi Katibu huyo wa CUF ametamka kuwa "SIKU ZOTE KAZI YA UPINZANI NI KUKOSOA, KUKATAZA NA KUTOA SULUHISHO MBADALA NA BORA KATIKA KUSHUGHULIKIA MATATIZO NA CHANGAMOTO ZA MAENDELEO. LAKINI UPINZANI SASA UMEACHA KAZI YAKE, WAMEGEUKA VIBARAKA WA KUFANYA KAZI ZA MATAIFA YA NJE....."
Nami naungana na kauli yake hiyo kuwa UPINZANI wa nchi hii umeundwa na viongozi wajanja wajanja na watumia tumbo ambao hawaoni shida kuweka rehani amani ya Tanzania na hata kuhatarisha Utulivu na mshikamano tulionao kama Taifa, wanachochea ubaguzi, Udini, Ukabila na Utengano. Ni mabaya mno mawazo yao na dhamira zao.
Ni heri mtu UFE ila mawazo yako yawe hai (kama Mwalimu Nyerere) kuliko kuwa hai huku mawazo yako yamekufa (kama Mheshimiwa TUNDU)
kama wewe unavyowashwa
mwizi wa simu kafika.kuweni makini wakuu. ukiiba hapa tunakuchoma moto abakorakamo

Safari ya ukombozi ndi ndefu na ina makwazo mengi sana.
Tulianza kuwang'oa wasaliti ndani ya CHADEMA.
Sasa tunaenda kuwang'oa kwenye vyama vya upinzani.
Ikifika 2015 tutakuwa clean kabisa na Tanganyika yetu