Mjumbe Mdogo Kuliko Wote BMK

Mjumbe Mdogo Kuliko Wote BMK

Bila shaka Elimu na nafasi yake vimemfanya awepo hapo alipo leo
 
Wanawake bana,Sasa ww hapo ndo mwisho wa upeo wako,umekosa kingne cha kujadli?
Poor women!

Kama unachukia vaa miwani usione gere,Weusiii

Nitake radhi mie dume la mbegu sio mwanamke! Everyone is entitled to comment on anything provided it's fact! Kama nimegusa in one way or another, dont take it personal. A spade is just a spade! Period.
 
Inashangaza Dume la mbegu kumjadili mwanamke,kwa hoja ya kikekike kama yako.Yaani mkaka mzima eti li-skin tight ka la karikoo,
Sasa ww kama ww unajadili hivyo na mkeo/dada ako ajadili nn sasa?
Ndoo maana walio ku-quote kwa kukusapoti utagundua ni wanawake.
Nahisi utakuwa mtoto wa kiume,na sio mwanaume.
Hya Mtoto wakiume fanya yako bana?

kama unachukia vaa miwani usione Gere @Weusiiiii
 
Inaonekana umeumia sana kumtoa kasoro mrembo wako wa mwaka. Pole sana, ni nani kakwambia ukiwa mwanaume hupaswi kujadili mavazi ya mtu? Nyie ndo wale wenye kasumba mwanaume hapaswi kuwa smart! Picha imewekwa kama kuna kasoro iwe nguo, iwe nywele tutasema provided sio fitina. JF is a where you dare to takl openly kama ulitegemea kusikia sifa tu umeumia.
 
basi tufunge huu mjadala
 
Si kila kijana anaweza kuleta mabadiliko au wazo mbadala. Wengine wamekwenda kuwawakilisha wazazi wao.Kijana kama huyu alitakiwa awe chachu kuchochea mabadiliko kama akina dada Maria Sarungi na Halima Mdee lakini utamshangaa huyu amekwenda kujitwalia posho na kusukuma siku.
 
Back
Top Bottom