Mjukuu wa Mandela atoa wito wa kufungwa ubalozi wa Israel nchini Afrika Kusini

Mmewahi kutia neno kuhusu boko haramu kuteka mabinti 300?
Msumbiji je?
Mauaji ya garisa yaliyofanywa na al shabab?
Nyinyi mnashindwa kupaza sauti kwa wa africa wenzenu mnataka kupaza sauti kwa waarabu
una uhakika hayo mauaji waisilamu hawaja ya laani? mimi muisilamu naenda msikitini na siku zote watu wanalaaani, masheikh wakubwa wakubwa wengi tu kama Mufti menk wanalaani hii video ya menk aliekuwa mufti wa zimbabwe.

Usisahau na wengi wanaopinga dhuluma hiyo wapo kidini zaidi na sio humanity..
SAGA la jamhuri ya kati hao hao wanaopinga komenti zao zilikuwa tofauti.
Sikuchagulii upande wa kusimama, ila hii vita ipo kidini zaidi.

Haya chini ni maoni ya member mmoja anaepinga uovu wa Israeli, lakini ndani ya mapafu yake ana chuki nyingine.

View attachment 1784053
uisilamu si otterhound ama mtu yoyote, uisilamu ni kile alichoshusha mwenyez mungu na Mtume wake, so na mimi nikijiita Shemasi nikaanza kupost comments za chuki za kikristo itafanya ukristo uwe dini ya chuki?

unataka kujua kwanini mtoto wa Mandela ama south Africa wanatetea palestina?

south africa waisilamu walikuwa asilimia 1 tu, na tena ni weupe wala sio weusi, hawakuwa wakibaguliwa, ila kutokana na sense of justice tuliacha raha za utawala wa kizungu tukaungana na watu weusi waliokuwa wakionewa, hawa watu weusi hawakuwa waisilamu bali wakristo.

weupe hawa waisilamu wakafa kwa ajili ya weusi wakristo, kwenye jambo lisilowahusu, ingekuwa wewe ni mweusi wa south africa ungejisikiaje?

sometime kuweni na ubinadamu hata kidogo chuki haitakupeleka popote, Askofu mwenyewe wa south Africa Desmond Tutu siku zote ni pro palestine.
 
Uislamu unakutaka wewe muislam umchukie mkristo ama yoyote yule asie muislam.

WEWE unae pinga ilo si muislam halisi, hao akina Boko haram,Isis ndo waislamu halisi, wanauishi uislam wenyewe.

Ukiona muislam anahubiri usawa, Demokrasia huyo ni kibaka wa dini, haijui dini vizuri.

Lakini muislam halisi anaeuishi uislamu ni akina shekeu, Bagdad, osama etc.

Alichokiandika Ottermendi ni sehemu tu ya kile kilichoandikwa kwenye kile kitabu cha Anti christ.
 
una uhakika hayo mauaji waisilamu hawaja ya laani? mimi muisilamu naenda msikitini na siku zote watu wanalaaani, masheikh wakubwa wakubwa wengi tu kama Mufti menk wanalaani hii video ya menk aliekuwa mufti wa zimbabwe.

Sisemei mataifa ya nje mimi, niletee video mufti wa tz akikemea niletee video waislam wa tz wakikemea
 
Kweli una ufinyu mkubwa wa akili. Nyerere alikuwa muislamu? Mandela alikuwa Muislamu?
Mbona wote hawa na Viongozi wengi wengine waliipinga Israel hadi kuvunja uhusiano na nchi hiyo?
Ole nyoo obhebhe.... Vita haipo kidini, ila wapiga kelele wapo kidini.. Swala la ufinyu wa akili naliona upande wako.
 
Kweli una ufinyu mkubwa wa akili. Nyerere alikuwa muislamu? Mandela alikuwa Muislamu?
Mbona wote hawa na Viongozi wengi wengine waliipinga Israel hadi kuvunja uhusiano na nchi hiyo?
Unajua kusoma kwa ufahamu?.

Nimesema kwamba:, vita haipo kidini, ila wapiga firimvi wapo kidini, ni kipi usichokielewa hapo?.

Unaniambi habari Nyerere kwa kudhani kuwa sijui msimamo wa Nyerere ulikuwa ni upi dhidi ya mgogoro huu?.

We bwana mdogo vipi?.

ACHA kujitia upofu..
Huyo huyo Nyerere na Tambo zake zote za kuipigania parestina, ila alipojaribu tu kuwaunga mkono WAGBO wa naijeria akaitwa mdini,wakasau kwamba kaipigania parestina akiwa mkatoriki, lakini kutetea WAGBO ikiwa nongwa..
Unafiki upo, unajua upo, kinachofanya unipinge unikijua mwenyewe.

Uwe na asubuhi njema.
 
Suffering from Acqured Stupidity disease by the way there is no country in this World by the name of parestina.

Unam wish asubuhi njema ilhali bado tuko na usiku! Mkuu vipi tena!
 
Uislamu unakutaka wewe muislam umchukie mkristo ama yoyote yule asie muislam.

WEWE unae pinga ilo si muislam halisi, hao akina Boko haram,Isis ndo waislamu halisi, wanauishi uislam wenyewe.

Ukiona muislam anahubiri usawa, Demokrasia huyo ni kibaka wa dini, haijui dini vizuri.

Lakini muislam halisi anaeuishi uislamu ni akina shekeu, Bagdad, osama etc.

Alichokiandika Ottermendi ni sehemu tu ya kile kilichoandikwa kwenye kile kitabu cha Anti christ.
Unaweza leta Aya ama sheria ya Kiisilamu inayosema muisilamu a natakiwa kumchukia mkristo?

1. Wakati waisilamu wanauliwa Makkah mtume aliandika Barua kwa Akofu/Padre wa Ethiopia kuomba hifadhi

2.siku zote Mtume alikuwa aki refer jews na wakristo kama watu wa kitabu na maelfu ya miaka toka kipindi cha mtume mpaka leo kuna wakristo mamilioni kwenye mataifa ya kiisilamu
 
Sisemei mataifa ya nje mimi, niletee video mufti wa tz akikemea niletee video waislam wa tz wakikemea
Mufti wa Tanzania ni msemaji wa Serikali, wanachotaka serikali ndio na yeye ataongea.

Kwenye Mauaji ya Kibiti aliongea na akakemea. Sheikh jalala, Khalifa Khamis etc wote waliongea.

Na nchi yetu haijakua advance kihivyo kwa watu kuhojiwa ama video kurekodiwa na kuweka kumbukumbu.

Mfano naweza ku kuuliza kuna video ya walokole wakikemea Mauaji ya msumbiji?
 
Unaweza leta Aya ama sheria ya Kiisilamu inayosema muisilamu a natakiwa kumchukia mkristo?

1. Wakati waisilamu wanauliwa Makkah mtume aliandika Barua kwa Akofu/Padre wa Ethiopia kuomba hifadhi

2.siku zote Mtume alikuwa aki refer jews na wakristo kama watu wa kitabu na maelfu ya miaka toka kipindi cha mtume mpaka leo kuna wakristo mamilioni kwenye mataifa ya kiisilamu
1Surah 9:5: “Then kill the disbelievers (non-Muslims) wherever you find them, capture them and besiege them, and lie in wait for them in each and every ambush ...”

2 Surah 3:151: “We shall cast terror into the hearts of those who disbelieve (all non-Muslims) ...”

Qur’an 5:51—O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends; they are friends of each other; and whoever amongst you takes them for a friend, then surely he is one of them; surely Allah does not guide the unjust people..

*** iki ndo kilichomo mioyoni mwenu, ila kwa nje mnapretend watu amani sana.

Ila kwakua author wa dini yako ni yule antichrist(Issa) baba wa uwongo, utapinga iki nilichokiweka hapa.
 
kwanza mkuu Quran haijashuka tu kama kitabu, zimeshuka aya moja moja, na kila aya iliposhuka ilikuwa na tukio lake, hivyo unapoitafsiri aya unaitafsiri kutokana na tukio lake na sio kuisoma tu kama Gazeti, hii ni basic knowledge ya kiisilamu

tuanze aya moja baada ya nyengine
1. surah 9:5
mtume wetu alikuwa akiwindwa na washirikina wa makka wakati huo kwa mambo mengi ikiwemo kutaka kumuua, akakimbilia madina, na huko pia mara kwa mara wakawa wanakuja kumpiga vita, vilikuwa vita vingi sana ikiwemo badr, uhud, handak etc

hii aya ilishuka kwenye vita vya tabuk, ambapo mtume alikuwa akipigana na Roman Empire, kuna washirikina waliingia mkataba na mtume wa kushirikiana nae na kutopigana, ila walivyoona roma taifa kubwa wakakimbia na kumsaliti mtume wakajiunga na jeshi la roma.

aya ya kwanza ya hii sura ina adress ni nani inamhusu
This is˺ a discharge from all obligations,1 by Allah and His Messenger, to the polytheists you ˹believers˺ have entered into treaties with

hivyo tunaona kabisa ina wahusu hao polytheist ambao walikuwa wakiabudu miungu mbalimbali.

aya ya 4 inaonesha si waabudu miungu wote walimsaliti mtume kuna wengine walitii mikataba ya ushirikiano japo walikuwa si waisilamu, hawakumkimbia mtume wakati ana shida
As for the polytheists who have honoured every term of their treaty with you and have not supported an enemy against you, honour your treaty with them until the end of its term. Surely Allah loves those who are mindful ˹of Him˺.

aya ya 5 sasa ya hio sura ndio inatoa punishment kwa hao waliokimbia na kujiungana jeshi la adui
But once the Sacred Months have passed, kill the polytheists ˹who violated their treaties˺ wherever you find them,1 capture them, besiege them, and lie in wait for them on every way. But if they repent, perform prayers, and pay alms-tax, then set them free. Indeed, Allah is All-Forgiving, Most Merciful.
hata ingekuwa ni sisi mfano tumesign mkataba na burundi wa kushirikiana kwenye vita, then tunapigana na kenya, halafu burundi waone jeshi la kenya ni kubwa wakimbie wajiunge na kenya tukikutana nae tuwapongeze nakuwapa zawadi ama tufanye kama hii ayainavyoamrisha?

na aya ya 6 mwenyez mungu akatoa muongozo zaidi
And if anyone from the polytheists asks for your protection ˹O Prophet˺, grant it to them so they may hear the Word of Allah, then escort them to a place of safety, for they are a people who have no knowledge.

hivyo ukaona kama wangeomba msamaha wangesamehewa na wasingefanywa chochote.

hii aya watu wengi wanaitafsiri out of cotext kimakusudi kama wewe ila hicho ndio kisa chake, kuielewa vita ya tabuk zaidi tembelea hapa

2.Surah 3:151
We shall cast terror into the hearts of those who disbelieve (all non-Muslims)
naona mzee ukaweka na mabano yako kabisa, hayo mabano ni yako mwenyewe na hayapo kwenye quran,

hii ayah imeshuka kwenye vita vya Uhud, hii vita ilipiganwa na waisilamu walikuwa wanashinda baadae kuna watu walivyoona wanaanza kushinda wakaondoka kwenye post zao na kuanza kukimbilia mali wachukue, washirikana wa makkah waka turn tide ya vita na kuua waisilamu wengi, mwenyez mungu akawatia khofu wakarudi mecca. baadae huko ndo wakaja kustuka kwanini hatukuwamaliza pale? hivyo inahusiana na hao washirikina wa mecca na wala usitudanganye hapa na kutuwekea mabano yako

“The promise of casting awe and fear into the hearts of the disbelievers in this verse was made in the background of the battle of Uhud when the disbelievers of Arabia marched back to Makkah without any obvious reason and inspite of defeat overtaking Muslim (Baydawi). However, after having covered a certain distance on their way to Makkah, they awoke to their folly. When they thought of marching back to Madinah, Allah Almighty filled their hearts with such awe and fear that they could not muster the courage to do so. The most they could do was to hire a Madinah-bound villager to go there and tell Muslims that theu were coming back. But, this whole deal came into the knowledge of the oly Prophet (p) in Madinah through revelation. He marched to Hamra al-Asad to apprehend them but they had already run away from there. This was the background in which the present verse was revealed.”

again aya hii pia haina mahusiano yoyote na unachokizungumzia

3.Qur’an 5:51
neno la kiarabu liliotumika ni walii, halimaanishi rafiki hio ni translation kuja kingereza, mfano kwenye ndoa walii wa mwanamke anaweza kuwa baba ama kaka yake etc, kifupi ni kama mlezi, mtu anaemuangalia etc, tulichokatazwa sisi ni kuwafanya wayahudi ama wakristo kama watetezi wetu, na hio ni kwenye National level na sio individual level,

ukisoma sura hio hio aya ya 83
5:83: And when they hear what has been revealed to the Messenger you see that their eyes overflow with tears because of the Truth that they recognize and they say: 'Our Lord! We do believe; write us down, therefore, with those who bear witness (to the Truth).

hio aya inamhusu mfalme Negus wa Ethiopia ambaye alikuwa ni kiongozi wa wakristo, aliwapokea waisilamu na kuwasaidia hio ya kutokwa na machozi ilikuwa ni reaction yake baada ya kusoma barua ya mtume.

aya hii inapingana na translation yako ya uongo ya juu, mtume alikuwa na contacts nyingi sana Za viongozi wakristo na majews, kuanzia mdogo hajakuwa mtume mpaka alivyokuwa mtume, na alivyoishi nao ndio tunavyoishi nao.
 
Mkuu, nilijua fika utakuja na Sarakasi hizi, nilichotaka ni kukumbusha tu kuwa kitabu chako kinakutaka umchukie asie muislam ilo lipo wazi.

Huyo muislam mwenzako sijui Ottermendi alivyoandika comment ya kibaguzi alijua tupo zama za mtume? Si, anajua tupo karne ya 21, ama hajui?...

Ndugu wa muislam ni muislam mwenzie tu, unalijua na kukubaliana na ili ila hapa utakataa ila ndani ya kongosho zako ili unaliishi bila shida.

IMG_20210514_080342.png
 
View attachment 1785518
Huwa sina kawaida ya ku discuss mipasho, Una hoja leta, kama hauna vyema ukanyamaza, nimeshakujibu juu uislamu hauangalii nani kasema ama nani kafanya unaangalia Quran na Sunna, kama Una Hoja leta huko, sipo hapa kujadili watu.
 
Bwasheeeee.. Unahitaji therapist,usipuuze iki ninachokuambia.

Mamwezio kakoti kile kitabu chake kinamuambia dhidi ya wasio waislam, nami nimekazia juu ya kilichoandikwa, sijavabadili hata yodi 1,sasa hiyo mipasho iko wapi?.

Hakuna pahari umekanusha kuwa AYA nilizozileta ni batili, ulitaka AYA nikakupa, ujazikanusha, umeishia kuleta tafsiri zako unazozijua wewe wakati maandiko yako wazi.

Haya bhana. Tukomee hapa.
 
Back
Top Bottom