Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,863
Jina caracal ni jina la kiingereza limetokana na neno la kituruki "karakulak" ikimaasha 'maskio meusi ,jina la kiswahili anaitwa "simba mangu" ambalo wanafalsafa wanasema linamaanisha secretive cat au secretive lion.
kwa kiswahili ni paka wa siri au simba wa siri kwasababu ya kuonekana kwake kua ni adimu (wanaoujua jina mangu ni kikabila na lina maana gani watuambie)
Caracal anapatikana kwa wingi sana Africa ya ndani na nchi za nje ya afrika za mashariki ya kati kidogo sana , awa wao huishi katika hali ya miti kiasi (savanna),katika majangwa pia hata katika misitu hata Tanzania wapo pia
Caracal sio mkubwa kama simba au chui ni mdogo kiasi. Dume uanzia uzito wa kilo 8 adi 20 jike ua na kilo 7 adi 15 , wana maskio meusi yenye manyoya marefu juu pia wana mikia mifupi unaeza sema kama wamekatwa nusu mkia wanakula kiumbe chochote kile anachoona anakimudu kuanzia panya hadi sungura
Simba mangu wamebarikiwa uwezo mkubwa sana wa usikivu na ndo kama silaha yake kubwa kwenye uwindaji wana muscles zaidi ya 20 kwenye masikio zilizojiunda katika makundi matatu ambayo humsaidia kua super sensitive ,na manyoya juu ya maskio hua kama antenna yani anajua kua mawimbi haya ya upepo yamebadilika kutokana na kupita kiumbe fulani
Pia chakula chao kikuu ni ndege wa angani ,ana uwezo wa kuruka juu kwa futi 10 hewani ni kiumbe wa pili duniani kwa kuruka juu akiwa nyuma ya "Cougar" au Puma , ndo maana miguu yake ya nyuma inaonekana kujazia sana ,fence zinazozidi futi 10 mara nyingi ni za viwanda hivyo unaona ni jinsi gani mnyama uyu anaruka
Lakini awa pia ni solitary animals ,yani wanyama wanaojitenga hawafungamani na caracal wenzie isipokua analea mtoto au anataka kujaamiana baada ya hapo kila mmoja anajua life lake ataishije

***** hii comment imenichekesha sn