Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,483
- 98,725
Kama akipata uhamisho kutoka Mikumi kwenda Brazil atafanyaje?Kama sikosei anaitwa FUNGO. Huyo mnyama kama akinya leo ubungo kesho akipata haja kubwa hata kama yupo Tegeta atarudi pale pale Ubungo sehemu aliyojisaidia jana yake.