Usafiri nimemnunulia mimi af anaenda kugegedwa ndani ya gari hilo. Nyumba nmejenga mie kwa ajili yetu, nkisafir anaingiza vimchepuko vyake. Hela nampa mwenyewe af anaenda kuhonga viSmall vyake. Ananishindisha leba kupokea mtoto kumbe mtoto wa haram. Naskia unagongwa na washkaji nakutetea kuwa we 100% mwaminifu. Mtoto akimzaa anasahau km nami nipo kila saa ye na mtoto. Mi mwenyewe nahama kwetu tukaishi pamoja gheto. Navumilia yt hayo kwa ajili yako, kumbe mtu mwenyewe hukufata mapenzi, umefata mali. Kuwa mwanaume ni kitu kigumu sana nyie wanawake muelewe