Mjue mwanamke

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
# MWANAMKE
● Anabadili Jina lake
● Anahama nyumbani kwao
● Anaacha familia yake
● Anaondoka na wewe
● Anajenga nyumba na wewe
● Anabeba ujauzito wako

● Ujauzito wako unabadili umbo lake
● Anakua mnene
● Anateseka chumba cha uzazi kwa maumivu makali kwa ajili ya mtoto wako.
● Na mtoto akizaliwa anasubiri umpe jina unalolipenda.

Mpaka kifo chake atakufanyia kila kitu, kukupikia, Kusafisha nyumba yako, Kuwatunza wazazi wako, Kulea watoto, Kubana matumizi, Kukushauri, Kuhakikisha unapumzika, Kujenga mahusiano mazuri ya familia na wakati mwingine kusakamwa sana na familia yako kwa mambo ambayo umetenda wewe, Wakati mwingine anaweza hatarisha afya yake, Uhai wake kwa ajili yako.

Anakufumania analia kisha anakusamehe.
Mwanaume Muheshimu Mwanamke Katika Maisha yako, Sababu kuwa Mwanamke si jambo rahisi.

Mfanye Mwanamke kuwa kiumbe mwenye furaha pindi unapokua nae maana Muda wa furaha kwake ni Mdogo sana.

Heshima kwa Wanawake wote Duniani.
.......
Nimeikopi mahali tu jamani!
 
Anakufumania analia kisha anakusamehe.
Mwanaume Muheshimu Mwanamke Katika Maisha yako, Sababu kuwa Mwanamke si jambo rahisi.

!

Kuwa mwanamke si kusamehe mwanaume akichepuka.
Na ndo wanafanyaga makusudi wakijua watasamehewa.
Me mwanaume akichepuka atembee kwa magoti mwenge hadi posta ndo nijue katubu.
Otherwise watu wanachepukaga makusudi kabisa hakuna cha shetani wala nini.
 
Nimekupenda ghafla! Hongera lakini uayafuata hayo
 


kizuri kula na mwenzako bibi wee unataka awewako peke yako umemuumba huyoo??
 
nime i love hii post.

nimeona niki i like tu haitoshi.

big up Mkuu
 
mkuu ile namba uliyotoa kuhusu tunaohitaji vitabu vya Joram Kiango Mbona tukipiga Zote mizinguo mingi?


kupitia hii post nakusalimu Mkuu, wapi ndugu yetu Sumbai?
sumbai wapi wewe??? toroka uje kipande hii
 
Last edited by a moderator:
Na baada ya kukuchoka hanaanza kuchepuka.

swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…