Mjue Mungu wa Freemasonry

Mtoa mada,uhali gani?juz ulisema kuna vitu utavielezea jana,hukufanya hivyo,leo ni siku nyingine,vipi?
Nitaielezea baadae. Ila nakuacha na trela. Kuna kipindi Ialdabaoth aliwahi kujutia kwanini alimuumba mwanadamu " Genesis 6:6-7" na aka apa kumfutilia mbali Binadamu kwenye uso wa dunia. Mungu Sophia ANAINGILIA Kati.. u know what happened?

Nitakuja baadae kuelezea
 
Usisahau kunitag. Madini adimu sana haya kwa afya ya ubongo na roho.
 
𝓤𝔃𝓲 𝓶𝓻𝓮𝓯𝓾 𝓼𝓪𝓷𝓪 𝓱𝓾𝓾, 𝓽𝓾𝔀𝓮𝓴𝓮𝓮 𝓪𝓫𝓼𝓽𝓻𝓪𝓬𝓽...
 
Shida nadharia za HAO jamaa zinachanganya.
Kuna mungu mwanaume
Kuna mungu MWANAMKE.
Kuna mungu mtoto
Kuna MUNGU jua
Kuna mungu mwezi
Yaani miungu si chini ya 1000+
ILA nadharia ya uislam dhidi ya Mungu naona.ndo sahihi
MUNGU MMOJA.HAKUZAA WALA HAKUZALIWA
Soma thread yangu vizuri utagundua kwanini anasema hakuzaa Wala hakuzaliwa na Wala hafanani na chochote.
 
suratil.mariam imekuja kwa ajili ya utukufu wa bibi maryam bint imran mama wa nabii isa alyhi salam.manaswara walimpa mtoto allah subhanatalah nae akaeleza kinagaubaga katika qur an ilikuwa vip.sio kwamba et waislam wameipa jina bila kujua.mzee mbona unatoa maboko
 
For ur information Duniani shetani tu ndio mmoja ila miungu wapo wengi Sana.

Kika dini in muungu wake but shetani ni yule yule. Shetani wa wakristu ndio shetani wa waislamu etc hata huyo unaemuabudu analijua Hilo ndio maana anasema "USIABUDU MIUNGU WENGINE" Kama ishu ya kutokuzaliwa hata Adamu hakuzaliwa so hakuna kitu kipya hapo
 


Dini ya kiislamu ilianzishwa na Vatican.
 
Hii DUNIA imeumbwa na mungu wangapi?
 
Wana sema Mungu wa Israel hana uwezo wa kuumba roho( kwanini? Endelea kusoma )


Huu ni UONGO mkubwa Roho za binadamu hazijawahi kuumbwa (created)....chochote chenye kuumbwa huwa kinakufa...roho za binadamu hazifi ....huwa zinaendelea kuishi hata mtu akifariki.
 
Wacha bana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…