Mjue Mungu wa Freemasonry

Daaaah. Nimepata shida sana ya kifikra hapo Ialdabaoth alipomlaani nyoka pale Eden. Kimsingi alimlaani mama yake, na mpaka leo laana ile inaishi kwa sababu mama yake hadi leo anatembelea tumbo na kula mavumbi. So sad

Lakini pia Ialdabaoth aliweka uadui kati ya nyoka na Eva. Kwa sababu Eva ni reincarnation ya Sophia, hivyo Ialdabaoth aliweka uadui kati ya Sophia na Sophia, yaani kati ya mama yake na mama yake!

Balaa sana.
 
Napata shida mungu huyo mkuu sehemu yake ya kike kuwa reflected by light kisha kuwa trapped hii inamaanisha kuna The most high na sii huyu ambae ukike wake umekua reflected
Kwa wa misri wanamuita Neter na kila kilichokuja baada yake ni neteru
 
Nope hujaelewa. Eva was never a re incarnation of Sophia. Eva alikuwa mtoto wa Adamu mean alitoka kwenye genetical materials za Adamu. Eva was genetically engineered from the genetical materials of Adam.

Mary the Mother of Jesus ndio alikuwa re incarnation wa Sophia.

Huo uadui aliouweka Kati ya mwanadamu na Sophia ni kumtenganisha mwanadamu na Sophia ambae ndie Mungu wake halisi na aliuweka uadui huo kwa ku alter DNA na genetical make up za Binadamu kuzifanya kuwa more inclined na mambo ya duniani na hivyo kufanya kuwa ngumu kwa mwanadamu huyo kuwa reconnected na Sophia.

Hiyo laana kwa Sophia ni sawa na wewe umchukue binti wa watu Bikira underage umpeleke gheto kwako kwa ajili ya kumla kimasihara halafu ukitoka kwenda kuchukua ndomu ukute mama ako mzazi amempeperusha halafu uanze kumlaumu mama ako.

It was an empty curse
 
Ndio nasema mpaka akawa trapped means kuna the highest power ambayo yeye can not stand

By the way nasuburi muendelezo maana unatufumbua kwa tusiyo yajua
Mfano kuwa trapped ni sawa na Mungu atoke Mbinguni aje duniani akanyage jiwe halafu Alama za nyayo take zibaki kwenye jiwe Kisha kwenye Alama hizo kitokee kiumbe.
 
Ibada ya Freemasonry ni lazima utoe kafara.... nguvu utakazozipata ni pamoja na ubora wa kafara yenyewe - bila kafara hakuna nguvu yoyote ya ombi lako utapata !!

Kafara zinazolipa ni kuua Mke, Mme - ingawa kafara ya mtoto ndiyo bora zaidi.

Ogopa sana ibada zenye kutumia damu !!
 
Hao ni Filmason mkuu hakuna kitu Kama hicho. Usidanganywe na movie za kinigeria

Kuna Freemasons na Filmason/firmason. Wewe unawazungumzia firmason
 
Youtube search Credo Mutwa and David icke

Mimi najua MUNGU mkuu na halisia mwenye nguvu yupo na anaishi nimesikia mengi na nime amini mengi lakini kwa sasa MUUMBA wa kweli yupo japo viongozi wanapotosha au huenda nao wana fichwa ukweli wote japo hata viongozi wakubwa wa mataifa wanajua ila hawana ufahamu wa kuyachambua
 
Ni Nani huyo Mungu Mkuu kwa.mujibu wako?
 
Mkuu swali langu kwako, kwanini unatumia maandiko ya biblia kuthibitisha baadhi ya hoja zako?

Je, unamaanisha Biblia imeandika mambo yote kwa usahihi?

Maana kama ni hivyo kuna maandiko mengine mengi tu yanayozibatilisha hoja zako nyingine. Mfano hiyo ya Lucifer na nyinginezo, hata alizozisema Yesu mwenyewe. Kwanini tuchague maandiko yanayofavor hoja zako wakati huo maandiko mengine tuyakatae?
 
Sasa kama laldabaoth ndio alikua na wazo la kuumba ulimwengu, na vyote vilivyopo na akafanya hivyo....! Huyo Sophia kwanini asimuache Mungu wa Israeli atimize lengo lake la kuumba huu ulimwengu, kwanini amuingilie laldabaoth katika mpango wake?
 
1.Bible imekuwa corrupted

2. Habari za Ialdabaoth zimeandikwa kwenye Bible ndio maana nazitumia Kama reference
 
I question the credibility of your story, though mambo uliyoyazungumza hapa yamenisaidia kujenga Imani yangu zaidi katika Yale niliyowahi kuyasikia kabla.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…