Aiseeπππ wala sina haraka ya ku coment. Ni kwamba kilichoandikwa hapo juu mbali na kujifunza ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Imagine akili zetu zilivyojazwa imani za kikristu na kiislam afu uje uwaambie hivyo. Watakupuuza tu.
Kwanini wote ni wakristo? Yaani huyo Sophie na AeonNope ana part zote mbili ya mwanamke na mwanaume. Ya mwanamke inajulikana Kama Sophia na ya mwanaume ni Aeon.
Likud ni neno ama jina la Kiyahudi kama siyo Kiebrania.Kama umeelewa vizuri hapo ndipo ilipo zaliwa dhana ya Muunga Muumba Binadamu kwa sura na mfano wake.