Umesemaje mkuu?Unamzungumzia yule aliyeshikwa pua na binaadam maji akayaita mma?
Umesemaje mkuu?Unamzungumzia yule aliyeshikwa pua na binaadam maji akayaita mma?
Mbona Kawaida Mkuu.Dah!, mkuu mbona umemaliza kiajabu hivyo?, au ndio kuna sehemu ya pili??
Hatari sana mkuu.kuna story moja niliisoma mitandaoni mwaka 2011 kwamba huko Zimbabwe kuna mkulima mmoja mamba alimkamata mguu kwenye mashamba ya mpunga akamtupia kwenye dimbwi sasa ktk kukurukakara za mapambano bahati mbaya au nzuri vidole vya jamaa vikamuingia mamba puani,unaambiwa mamba aliishia kukimbia mwenyewe na kukiacha kipande cha mguu alichokikata na hata watu walipokuja kumtafuta wamuue walimkuta ameshahama.sasa sijui ilikuwa nyepesi nyepesi!!!ila pia niliisikiliza BBC habari hiyo.Umesemaje mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] alikosa pumzi? Au labda wapo sensitive puaniHatari sana mkuu.kuna story moja niliisoma mitandaoni mwaka 2011 kwamba huko Zimbabwe kuna mkulima mmoja mamba alimkamata mguu kwenye mashamba ya mpunga akamtupia kwenye dimbwi sasa ktk kukurukakara za mapambano bahati mbaya au nzuri vidole vya jamaa vikamuingia mamba puani,unaambiwa mamba aliishia kukimbia mwenyewe na kukiacha kipande cha mguu alichokikata na hata watu walipokuja kumtafuta wamuue walimkuta ameshahama.sasa sijui ilikuwa nyepesi nyepesi!!!ila pia niliisikiliza BBC habari hiyo.
Duh !!, sijawahi kula nyama ya mamba, na siwezi kuila.napia ana stake ya kutosha na bei yake ipo juu kweli kweli, kwa wale wamtumiao kama kitoweo.
Ni sahihi, Wanyama Wengi ukishaingiza vidole kwenye pua zao wanakosa ujanja, lazima wasalimu amri.Hatari sana mkuu.kuna story moja niliisoma mitandaoni mwaka 2011 kwamba huko Zimbabwe kuna mkulima mmoja mamba alimkamata mguu kwenye mashamba ya mpunga akamtupia kwenye dimbwi sasa ktk kukurukakara za mapambano bahati mbaya au nzuri vidole vya jamaa vikamuingia mamba puani,unaambiwa mamba aliishia kukimbia mwenyewe na kukiacha kipande cha mguu alichokikata na hata watu walipokuja kumtafuta wamuue walimkuta ameshahama.sasa sijui ilikuwa nyepesi nyepesi!!!ila pia niliisikiliza BBC habari hiyo.