mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,337
- 57,160
Ukimuona katulia.kama hayupo yupo.jichanganye sasa.
Msahaulifu sanaaaaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli itakua yabajaji mbn umesahau! ,nkasema ngoja nkamtafute huyu mwanamke ,holaaaaaaaaa Putin kaingizwa mjini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Nilikupa namba?hata sikumbuki aisee
Kwanini bibie ??.Hizi nyuzi huwa zinanichekesha san
Kuna moja namna ya kukabiliana na simba huo uzi unachekesha kweliKwanini bibie ??.
Kha ! kha ! kha !, anakuwa anajihami.Nikiwa Livingstone niliona Simba jike likitaka kuvuka na watoto wake linaunguruma kwanza harafu yeye ndio anakuwa wa kwanza kufika ufukweni akifika watoto nao wanavuka huku akiendelea kupiga mkwara Mamba anawaogopa Chui na Simba
Sikumbuki mpaka nirudie kusoma kuleMsahaulifu sanaaaaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli itakua yabajaji mbn umesahau! ,nkasema ngoja nkamtafute huyu mwanamke ,holaaaaaaaaa Putin kaingizwa mjini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Hahahaha kipepeo kweli weeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya kimbia ukaisome tena upya !!.Sikumbuki mpaka nirudie kusoma kule
Ahahahahahukara ndo mambo yao hayo, unakunywa maji kwenye glass mara paap mamba ndani ya glass ya maji
Sasa si Ushirikina huo !!!.ukara ndo mambo yao hayo, unakunywa maji kwenye glass mara paap mamba ndani ya glass ya maji
Sawa !!!, Sasa km akikutaimu kwenye maji huna hili wala lile utamtoboaje ??.Nasikia ukitaka kupigana nae m target Kwenye macho.mtoboe macho atakuachia tu.maana ngozi yake ni ngumu huiwezi
maneno mengi bila pichaHeshima zenu Wakuu, Karibuni ktk Makala hii fupi Kuhusu huyu Kiumbe.
Mamba ni miongoni Mwa Viumbe hatari Zaidi kwa maisha ya Binadamu, Mamba ameorodheshwa miongoni Mwa Viumbe 10 hatari kwa maisha ya Binadamu. Mamba hufanya mawindo yake kwa kuvizia akiwa ndani ya maji na mara chache Zaidi akiwa nchi kavu.
Kimaumbile, Mamba huwa anakuwa na nguvu Zaidi anapokuwa kwenye maji. Utafiti unaonyesha kuwa kuna aina 23 za Mamba wanaojulikana Kitaalamu na kugawanywa kwenye makundi kutegemeana na kufanana kwao kitabia na mazingira wanayopenda kuishi.
Jamii ya Mamba wanaojulikana kama "SALT WATER CROCODILE " au "Indo -pacific crocodile ",ndio wakubwa Zaidi Kuliko jamii zingine zote. Mamba wa aina hii hupatikana Kaskazini Mwa Australia, Kusini Mwa Bara la Asia na baadhi ya maeneo ya India. Tofauti na Mamba tuliozoea kuwaona kwenye mito na Maziwa, "Salt Crocodile "maisha yao ni kwenye maji ya chumvi.
Mamba mkubwa wa aina hii ya "Salt Water Crocodile " ana uzito wa kati ya kilo 1000-2000 yaani tani 1-2,Uzito ambao ni mkubwa kwa Viumbe wote wanaotambaa.
Kimsingi Mamba huweza kuishi kati y'a miaka 40 hadi 60.Mamba jike hupevuka anapofika miaka kati ya 12-14 ,wakati dume hufikia hatua hiyo anapokuwa na miaka 16.Mamba jike huweza kutaga mayai kati ya 40-90 mara Moja kutegemea na jamii zao, kwa maana ya makundi waliyogawanywa.
Mamba mrefu Zaidi anaweza kufikia futi 20,sawa na Sm 600 au mita sita (6) au Zaidi, wakati Mamba mdogo huwa na Urefu wa futi tano (5).
Kingine kinachofurahisha Zaidi kwa Mamba ni kwamba ana uwezo wa kuota meno katika muda wake wote wa maisha.
Source -Gazeti la Nipashe Jumapili, la tarehe 1-7 April 2012.Karibuni sana.
Watu kwa kupenda picha !!!!.Mkuu nimeshindwa namna ya kuziweka.maneno mengi bila picha
mkuu huo sio ushirikina bali ni ushirikiano katika vyombo vya kuchukulia maji kwasababu umepitiliza to an advanced levelSasa si Ushirikina huo !!!.
Nioashe waongo sana siku hiziHeshima zenu Wakuu, Karibuni ktk Makala hii fupi Kuhusu huyu Kiumbe.
Mamba ni miongoni Mwa Viumbe hatari Zaidi kwa maisha ya Binadamu, Mamba ameorodheshwa miongoni Mwa Viumbe 10 hatari kwa maisha ya Binadamu. Mamba hufanya mawindo yake kwa kuvizia akiwa ndani ya maji na mara chache Zaidi akiwa nchi kavu.
Kimaumbile, Mamba huwa anakuwa na nguvu Zaidi anapokuwa kwenye maji. Utafiti unaonyesha kuwa kuna aina 23 za Mamba wanaojulikana Kitaalamu na kugawanywa kwenye makundi kutegemeana na kufanana kwao kitabia na mazingira wanayopenda kuishi.
Jamii ya Mamba wanaojulikana kama "SALT WATER CROCODILE " au "Indo -pacific crocodile ",ndio wakubwa Zaidi Kuliko jamii zingine zote. Mamba wa aina hii hupatikana Kaskazini Mwa Australia, Kusini Mwa Bara la Asia na baadhi ya maeneo ya India. Tofauti na Mamba tuliozoea kuwaona kwenye mito na Maziwa, "Salt Crocodile "maisha yao ni kwenye maji ya chumvi.
Mamba mkubwa wa aina hii ya "Salt Water Crocodile " ana uzito wa kati ya kilo 1000-2000 yaani tani 1-2,Uzito ambao ni mkubwa kwa Viumbe wote wanaotambaa.
Kimsingi Mamba huweza kuishi kati y'a miaka 40 hadi 60.Mamba jike hupevuka anapofika miaka kati ya 12-14 ,wakati dume hufikia hatua hiyo anapokuwa na miaka 16.Mamba jike huweza kutaga mayai kati ya 40-90 mara Moja kutegemea na jamii zao, kwa maana ya makundi waliyogawanywa.
Mamba mrefu Zaidi anaweza kufikia futi 20,sawa na Sm 600 au mita sita (6) au Zaidi, wakati Mamba mdogo huwa na Urefu wa futi tano (5).
Kingine kinachofurahisha Zaidi kwa Mamba ni kwamba ana uwezo wa kuota meno katika muda wake wote wa maisha.
Source -Gazeti la Nipashe Jumapili, la tarehe 1-7 April 2012.Karibuni sana.
Nipashe waongo sana siku hiziHeshima zenu Wakuu, Karibuni ktk Makala hii fupi Kuhusu huyu Kiumbe.

Kweli ???, thibitisha uwongo wao.Nipashe waongo sana siku hizi
Unamzungumzia yule aliyeshikwa pua na binaadam maji akayaita mma?Kuna habari ilitangazwa na matukio RFA kuwa, mamba alicheza na MTU/binadamu lisaa limoja kabla waokoaji hawajaja kumuokoa...!!
Nadhani alikuwa mamba mtoto