win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 5,332
- 17,252
naona saivi kwenye kibox arlet zimekua nyingiii mpaka hatuonekani😪😂😂 mbona kufuri ya zipu langu unayo banaa .. twende tukazungukee
wew na kama bluetooth tu😅😅 unaconnet tu kama devices ipo on,, mi nitazunguka pekeangu wacha nijitafute kwanzaaa