Mjue Lilith ni nani

Mjue Lilith ni nani

Kuna mwanaharakati mmoja wa kike aliyepo nje ya nchi inaandikwa kuwa ana roho ya Lilith kutokana na ushawishi wake na uwezo mkubwa alionao mpaka serikali inamuona ni kitisho na anaweza kuiangusha
 
Yes inaendelea kama kawa...

Adam alipewa mandate ya kutawa kila kiumbe ambacho kilikuwa kiki oparate katika earthly realms, maana yake ilimjumuisha na Lilith mwenyewe, lakini Lilith ( katika namna ya kawaida alikuwa anajiona superiol kuliko Adam kwa namna alivyo umbwa na kwa material aliyo umbwa ) Lilith aliumbwa kwa namna ya kumfanya Adam awe na furaha, aliumbwa kwa namna ya malaika alie contain ( something ndani yake ambavyo vina presense ya furaha na manani ndani yake katika namna ya malaika ), badala yake akawa trouble maker 😁😁😁🙏
subiri kidogo,, lilith aliumbwa siku gani? yani aliishi kidogo na adam badae ndo akafukuzwa alf akaletwa Eva au vipi? maana hiyo sheria ya adam kumiliki kila kitu si tunasoma kwenye biblia ni ilitokea wakati wa uumbaji wa pili?
 
Ukisoma bibiblia yetu ya hapa kitandani, Genesisi 1:26 kwenye uumbaji inatajwa uumbaji wa Adamu, lakini hakuna anapo tajwa Lilith. Katika council la Elohims ( garhering of spiriths ) Lilith alikuwa mmoja wapo ( kwa lugha ingine in physcal Adam alikumkuta Lilith , from Genesisi 1:26 hadi kwend Genesis 2 : 7 ni mda mrefu hapo katika na kukawa na events nyingi sanaz zingine tukianza zingumza utakimbia ( tulipata bahati wa kurudi bank katika hizo time za uumbaji ) 😁😁😁. Leo biblia inakaa upande wako au wangu
 
Adamu kwa mtaani tunasema alipewa mshangazi 😁😁😁..

But dhumu na Lilith kupewa Adam haikuwa ndoa katika namna ya Adam na Eva.. Maana Lilith alikuwa complete spiritual being, na katika namna ya roho hakuna ndoa katika ya spirit being na mwanadamu

win-one
 
Adam alipewa Lilith kwa kusudi ya furaha, ambayo ilikuwa ndani ya Lilith katika kuumbwa kwake.. ni kama Lucife alivyo umbwa na burdan ndani yake kumfurahisha Mungu, ndivyo Lilith alitakiwa mfurahisja Adam, ila ndio ivyo akadinda 😁😁😁

C.c win-one
 
wew ukifurahishwa huwa haudindi?😂😂😂

sasa kama issue ilikua sio ndoa kwanini saivi watu wakisema wajiburudishe bila ndoa inahesabiwa kama dhambi ya uzinzi?
 
aiseee sasa kumbe makosa aliyaanzisha huyo alomkutanisha Adam na lilith sasa kwanini aturushie sisi mizigo iliyo juu ya uwezo wetu ilihali yeye alikua na uwezo wa kudhibiti? 🤔🤔

nachoka jamni
 
kidindio changu si umekichukia, nitadindaje tenaa 😁😁

Sawa, dambi uliyofanyika bustanini sio dhambi ya uzinzi, kama watu wengi wanavyo sema.

Kujiburudisha kabla ya ndoa ( wanaita uasherati ) , ambayo uasherati ni uchafu wa kiroho. Uasherati unakatzwa kama mashauri ya Mungu kwa mwadamu katika kumsaidia ili kuepukana na madhara yanayoweza jitokeza baada ya kwichi kwichi, kwasababu kwichichi huwa ina effects kubwa sana spiritual sasa yule unae banduana nae huwezi jua side ya roho yake, na ndio maaja kuna guideline kupata baraka za wazee na wazazi wao wanajia mengi wakitazama hivyo na kucheki hisyory wanajia, ndio maaja ukipata baraka za wazazi au wazee kiroho hiyo ni ndoa tayari, ukiachana na hizi za siku hizi
 
Adamu kwa mtaani tunasema alipewa mshangazi 😁😁😁..

But dhumu na Lilith kupewa Adam haikuwa ndoa katika namna ya Adam na Eva.. Maana Lilith alikuwa complete spiritual being, na katika namna ya roho hakuna ndoa katika ya spirit being na mwanadamu

win-one
😂😂😂 hapa lilith alikua mtata akasema msinitanie haiwezekani ka kijana nakazidi kila kitu alf niwe chini yake,,,,

sema hizi habari zinachanganya kidogo kwanini asingemtolea lilith huo ufaham na ukubwa alompa

nje ya mada mbali na lilith kunao wanawake wengine waloumbwa before adam wakawekwa kuwa malaiki wa kawaida? na kama ndio kwanini alichaguliwa lilith kati ya hao wote? na kama sio kwanini lilith alitengenezwa yeye pekeake
 
aiseee sasa kumbe makosa aliyaanzisha huyo alomkutanisha Adam na lilith sasa kwanini aturushie sisi mizigo iliyo juu ya uwezo wetu ilihali yeye alikua na uwezo wa kudhibiti? 🤔🤔

nachoka jamni
Biblia inasema nani aweza kumuhoji Mungu kwanini uliumba hivi au ulifanya vile 😁😁😁... Baba akosei, tuvunge tuuu
 
😂😂😂 hapa lilith alikua mtata akasema msinitanie haiwezekani ka kijana nakazidi kila kitu alf niwe chini yake,,,,

sema hizi habari zinachanganya kidogo kwanini asingemtolea lilith huo ufaham na ukubwa alompa

nje ya mada mbali na lilith kunao wanawake wengine waloumbwa before adam wakawekwa kuwa malaiki wa kawaida? na kama ndio kwanini alichaguliwa lilith kati ya hao wote? na kama sio kwanini lilith alitengenezwa yeye pekeake
Kiwanjo cha kiroho cha Adamu kilikuwa kinaenda na huduma ya Lilith. Kila mwanadamu anapewa malaika kutokaka na daraja lake la kiroho, kadri una adavnve malaika huongezeka na kubadirika
 
kidindio changu si umekichukia, nitadindaje tenaa 😁😁

Sawa, dambi uliyofanyika bustanini sio dhambi ya uzinzi, kama watu wengi wanavyo sema.

Kujiburudisha kabla ya ndoa ( wanaita uasherati ) , ambayo uasherati ni uchafu wa kiroho. Uasherati unakatzwa kama mashauri ya Mungu kwa mwadamu katika kumsaidia ili kuepukana na madhara yanayoweza jitokeza baada ya kwichi kwichi, kwasababu kwichichi huwa ina effects kubwa sana spiritual sasa yule unae banduana nae huwezi jua side ya roho yake, na ndio maaja kuna guideline kupata baraka za wazee na wazazi wao wanajia mengi wakitazama hivyo na kucheki hisyory wanajia, ndio maaja ukipata baraka za wazazi au wazee kiroho hiyo ni ndoa tayari, ukiachana na hizi za siku hizi
saiv unaringa kisa unauwezo wa kumwaga sehemu yoyote unayo itaka ndo maana umeshindwa kunibembeleza😅😅😅 nimeona nikuache tu na hao maana mi sina haraka sanaaaaa

mi pia najua kilicho watoa adam na hawa bustanini haukua uzinzi bali ni kula tunda walilo zuiliwa( hapa nina maswali kidogo, sasa Mungu alipoona hivyo kwanini aaingefuta kumbkumb zao chap then maisha yakaendelea, au kwanini asinge uweka ule mti sehemu ambayo haiwezi kufikika coz alikua ameshajua kuna wasaliti tayali?,,, haya tuachane nayo)

sasa kwanini tuliumbwa na hisia🤨 na kwanini aruhusu watu wake wapatwe na roho wabaya ilihali alimtoa mwanae akafa kwa ajili ya dhambi zetu? mi nilihisi kile kifo kilimaliza kila kitu
 
Kiwanjo cha kiroho cha Adamu kilikuwa kinaenda na huduma ya Lilith. Kila mwanadamu anapewa malaika kutokaka na daraja lake la kiroho, kadri una adavnve malaika huongezeka na kubadirika
aisee mambo ni Mengi bwana😅😅😅 mi nishaanza kuchanganyikiwa hapa,, natamani ku judge ila ndo ushanambia Mungu hatakiwi kuhijiwa

eh hivi ni kweli kuna biblia ya kwanza kabisa kutolewa ambayo imezuiliwa kutumika kwa saivi ambayo imebeba siri nyingi?
 
saiv unaringa kisa unauwezo wa kumwaga sehemu yoyote unayo itaka ndo maana umeshindwa kunibembeleza😅😅😅 nimeona nikuache tu na hao maana mi sina haraka sanaaaaa

mi pia najua kilicho watoa adam na hawa bustanini haukua uzinzi bali ni kula tunda walilo zuiliwa( hapa nina maswali kidogo, sasa Mungu alipoona hivyo kwanini aaingefuta kumbkumb zao chap then maisha yakaendelea, au kwanini asinge uweka ule mti sehemu ambayo haiwezi kufikika coz alikua ameshajua kuna wasaliti tayali?,,, haya tuachane nayo)

sasa kwanini tuliumbwa na hisia🤨 na kwanini aruhusu watu wake wapatwe na roho wabaya ilihali alimtoa mwanae akafa kwa ajili ya dhambi zetu? mi nilihisi kile kifo kilimaliza kila kitu
La kumwaga popote chanzo ni wewe mwenyewe, hiyo case sihusiki nayo mie imalize mwenyewe 😎

😁😁😁 nipigie video call , haya maswali yako kwa kuongea ndio ukifurahia majibu yake, kwa kuandika nakatiza sana najaribu kuandika kwa ufupi.

Ujue biblia inatuambia siku ya saba Mungu alikamilisha kila kitu ni kama alipiga lock hapo, na kutokea hapo ndio unayo ona katika Mungu kumaliza kila kitu ali set rules mtu akivunja anaumia mwenywe kwenye biblia wanasema atayevunja wigo nyoka atamgonga ndio hiyo, anae vunja sheria analo 😎😎
 
aisee mambo ni Mengi bwana😅😅😅 mi nishaanza kuchanganyikiwa hapa
😎😎 Haya mambo ukitaka enjoy upate ability ya kurudi miaka ya nyuma ujionee maseke seke ( kusafiri kwa mda kurudi nyuma ujionee )
 
La kumwaga popote chanzo ni wewe mwenyewe, hiyo case sihusiki nayo mie imalize mwenyewe 😎

😁😁😁 nipigie video call , haya maswali yako kwa kuongea ndio ukifurahia majibu yake, kwa kuandika nakatiza sana najaribu kuandika kwa ufupi.

Ujue biblia inatuambia siku ya saba Mungu alikamilisha kila kitu ni kama alipiga lock hapo, na kutokea hapo ndio unayo ona katika Mungu kumaliza kila kitu ali set rules mtu akivunja anaumia mwenywe kwenye biblia wanasema atayevunja wigo nyoka atamgonga ndio hiyo, anae vunja sheria analo 😎😎
akuuu hebu usinihusishe kwenye uzinzi wako wa makusudi😪😪 , ila nimekuacha we ruka uwezavyo na ukichoka usirudi hapa😅 nishamov on mie

video call sitaki unaweza kunishawishi na tuvitu twako nikanogewa mpka nitake kuja,, ndimi yako naifaham vizuri😜😜 hapo haunipati ng'o

duh natamani siku ya mwisho tupewe nafasi ya kujitetea jamani🤦‍♀️🤦‍♀️,,
 
😎😎 Haya mambo ukitaka enjoy upate ability ya kurudi miaka ya nyuma ujionee maseke seke ( kusafiri kwa mda kurudi nyuma ujionee )
isingekua kufungua fungua kwako zipu tungeongozana ila kwa ninavyo kufahamu lazima uchovye kila tutakapo pita😅😅😅,, ngoja nijichange change lazima nizunguke kujifunza vitu
 
akuuu hebu usinihusishe kwenye uzinzi wako wa makusudi😪😪 , ila nimekuacha we ruka uwezavyo na ukichoka usirudi hapa😅 nishamov on mie

video call sitaki unaweza kunishawishi na tuvitu twako nikanogewa mpka nitake kuja,, ndimi yako naifaham vizuri😜😜 hapo haunipati ng'o

duh natamani siku ya mwisho tupewe nafasi ya kujitetea jamani🤦‍♀️🤦‍♀️,,
😂😂 Jamani jamani tema mate chini, mbona unataka nichomwe moto kwa tuhuma ya uzinzi ..

😊😊 huzugumzii maneno yanaweza sababisha mtu akatoka Kigoma hadi Dar kwa miguu kukufata

siku ya mwisho inawekwa big screen ni kuona matukio ya watu hapo hakuna kufichana fichanaa mambo yote yanakuwa wazi..
 
isingekua kufungua fungua kwako zipu tungeongozana ila kwa ninavyo kufahamu lazima uchovye kila tutakapo pita😅😅😅,, ngoja nijichange change lazima nizunguke kujifunza vitu
😂😂 mbona kufuri ya zipu langu unayo banaa .. twende tukazungukee
 
Back
Top Bottom