Mjue Issa Michuzi

Status
Not open for further replies.
zaidi ya kubania comments zinazosema ukweli kuhusu viongozi wa serikali hana kosa lingine lolote ninaloona.mungu aendelee kumjaalia katika maisha yake labda siku moja atakuwa na nguvu zaidi ya kuwapa uhuru wa kutoa maoni wanablogu wake.

Mkuu Wenger hii siku haiwezi kuja kama jamaa napitisha tumbowazi mbele ya mafisadi, na ukumbuke mafisadi wanaogopa sana forum kama hizi kwahiyo inabidi tumkomalie Michuzi aache hii tabia ya kubania mawazo ya watu wenye uchungu na nchi yao bwana. Ala tuache kubembelezana wakati wa ukombozi wa kiuchumi, kifikra ndio huu ndugu zangu, tukiona mwenzetu haeleweki na tunamshauri hatusikii tunamuacha njia panda tu atajua mwenyewe apite wapi
 

Mwenzenu Michuzi anafanya biashara japo hiyo blog sidhani kama inan-cost chochote. Camera na internet services vyote ni mali ya Daily News!

Ikiona kaandika sijui Libeneke la duka flani ujue kavuta si chini ya laki5. Mara Oh kiota kipya cha maraha Dar, hiyo yote ni advertsment anafanya na anavuta kwelikweli! Ila kwa madada wengi esp wenye maduka ya nguo anavuta in kind!
 

Hapa umepiga white house wala sio ikulu maana ikulu sio lazima iwe white house.
 
embu fikiria JF nayo wangekuwa wanabana comments kama mcihuzi
embu fikiria JF nayo ingeamua kuwabariki watawala wetu

inanishangaza sana mtu anapoangaika katika maisha yake na kufanikiwa, na anapopata nafasi badala ya kusaidia wale wanaohangaika yeye anasaidia wale wanaosababisha watu wahangaike...

Max Melo ndio role model wa kuigwa kwa watanzania....
 
Michuzi anasema kapewa "lifti" kwenye zimamoto, hana hata helmet, sijui kachoka kazi Daily News anatafuta kuumia apate kisingizio na mafao ya kuondoka mapema? Manake hata picha za gazeti la serikali anazichanganya na mtandao wake binafsi. Bosi wake nani huyu clown?




 

Mze kumbe una mbinu zote, si na wewe ungepiga bao kihivyo!!????

Acheni wivu wa kicheche!!!!!!!!!!!!!!!
 

Mahojiano yake ni mazuri sana. Unapojibu maswali siyo lazima uwe serious, unaweza ukawa na staili yako na watu wakaelewa. Huyu jamaa ni mmoja wa Tanzanian Influence, ndiyo maana glob yake ina watu wengi sana. Mpe credit kwa kazi yake.
 
PUPPET!!,Ni ka ganga njaa,kanajifanya na kenyewe ni Usalama wa mafisadi, ooh sorry usalama wa Taifa.
 
....nashangaa mzee badala ya kujadili issue tuanahangaika na mpiga picha...anyway kama nimekukwaza na mcheza disco mwenzako wa enzi hizo

Ushi[/QUOTE]


Nanusa harufu ya dharau, kibri na majivuno!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…