Africa tumewekeza nguvu nyingi kwenye siasa na kulinda vyeo, sio future ya nchi zetu, hilo linajulikana. Kuna kile kipindi police wa Msumbiji waliua Watanzania wengi tu, kipindi hiki hiki cha mzee wa chattle, Watanzania wale walikwenda kuwekeza kule na baadhi yao walipeleka tecknolojia Fulani ya kuchenjua madini ya dhahahbu and the guys were making money, nilishangaa sana kauri za mhe No 1 kuwahusu raia wale walio uawa na serikali ya Msumbiji, nilishangaa sana. Ila hebu gusa nafasi zao uone, kila aina ya silaha iliopo gharani itatolewa but when it comes to the future of our country, walaa. So umasikini wa Africa ni wa kujitakia na sio mpango wa Mungu wala.