Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,648
- 3,807
Kuna watu mnawaza kufanya uhaini saa yoyoteJamaa aliweza kuingilia mifumo ya jeshi la Marekani pamoja na NASA akadukua taarifa alizozitaka alafu bado mnatuaminisha jf tuko salama?
Maendeleo hayana chama
Ndio maana nchi yake ilitaka asifungwe na walifanikiwa though baada ya muda kupita.
Mawaziri walitoa mchango mkubwa sana ili Jamaa abaki huru ingawa kwa nchi za kiafrika tayari umekula miaka buku jela au ikishindikana sana unakula bullets tu za kutoshaNdio maana nchi yake ilitaka asifungwe na walifanikiwa though baada ya muda kupita.
Africa tumewekeza nguvu nyingi kwenye siasa na kulinda vyeo, sio future ya nchi zetu, hilo linajulikana. Kuna kile kipindi police wa Msumbiji waliua Watanzania wengi tu, kipindi hiki hiki cha mzee wa chattle, Watanzania wale walikwenda kuwekeza kule na baadhi yao walipeleka tecknolojia Fulani ya kuchenjua madini ya dhahahbu and the guys were making money, nilishangaa sana kauri za mhe No 1 kuwahusu raia wale walio uawa na serikali ya Msumbiji, nilishangaa sana. Ila hebu gusa nafasi zao uone, kila aina ya silaha iliopo gharani itatolewa but when it comes to the future of our country, walaa. So umasikini wa Africa ni wa kujitakia na sio mpango wa Mungu wala.Mawaziri walitoa mchango mkubwa sana ili Jamaa abaki huru ingawa kwa nchi za kiafrika tayari umekula miaka buku jela au ikishindikana sana unakula bullets tu za kutosha
Yaani kama Nina ujuzi huu ni heri nikaombe uraia hata Ufaransa hapo mbona bata ila huku kwetu ni pity holeAfrica tumewekeza nguvu nyingi kwenye siasa na kulinda vyeo, sio future ya nchi zetu, hilo linajulikana. Kuna kile kipindi police wa Msumbiji waliua Watanzania wengi tu, kipindi hiki hiki cha mzee wa chattle, Watanzania wale walikwenda kuwekeza kule na baadhi yao walipeleka tecknolojia Fulani ya kuchenjua madini ya dhahahbu and the guys were making money, nilishangaa sana kauri za mhe No 1 kuwahusu raia wale walio uawa na serikali ya Msumbiji, nilishangaa sana. Ila hebu gusa nafasi zao uone, kila aina ya silaha iliopo gharani itatolewa but when it comes to the future of our country, walaa. So umasikini wa Africa ni wa kujitakia na sio mpango wa Mungu wala.



Umenifanya nimkumbe profesa Masau, daktari bingwa wa magonjwa ya moyo aliyetokaga ulaya sijui Marekani kule kuja kuokoa pesa za Watanzania waliokua wanakwenda India kutibiwa ugonjwa wa moyo, aliishia KUFA tu kwasababu ya stress, kibaya zaidi huaga nayakumbuka hadi maneno ya profesa Juma Athuman Kapuya akiwa bungeni, yaani alitoaga maneno ya shombo sana kwa profesa yule. Africa tumekua masikini kwa kujitakia. RIP prof Masau, Mkerewe wa watuYaani kama Nina ujuzi huu ni heri nikaombe uraia hata Ufaransa hapo mbona bata ila huku kwetu ni pity hole![]()
Kuna Jamaa tulipiga naye primary yupo France anapiga IT mzee hataki kusikia ishu about bongoUmenifanya nimkumbe prefesa Masau, daktarin bingwa wa magonjwa ya moyo aliyetokaga ulaya sijui Marekani kule kuja kuokoa pesa zaWatanzania waliokua wanakwenda India kutibiwa ugonjwa wa moyo, aliishia KUFA tu kwasababu ya stress, kibaya Zaidi huaga nayakumbuka hadi maneno ya profesa Juma Athuman Kapuya akiwa bungeni, yaani alitoaga maneno ya shombo sana kwa profesa yule. Africa tumekua masikini kwa kujitakia. RIP prof MAsau, Mkerewe wa watu
Kwa jamaa yako mbali, muulize Tido Mhando, sijui kama huaga anajipongeza kuachia nafasi ya HOD alioipata akiwa BBCKuna Jamaa tulipiga naye primary yupo France anapiga IT mzee hataki kusikia ishu about bongo
Huyo huyo bhana, halafu walivyo muharibia (tena hawa hawa kina Makamba Sn ) eti na huyu nae akaona kama jamaa kua pale kwa mzee wa rambaramba na kwenyewe shida, akatengenezewa kesi ya 800M, bongo bhana. Yaani ukiwa kwenye siasa za vyama tawala Africa ni sawa na kua mchawi tu, sema vitendea kazi vya kichawi ndio vinatofautianaMhando bhana
Course gani mkuuBi mkubwa aliniambia niifanyie Kazi ndoto yoyote ninayoiota ila kasoro ndoto mbili tu ndo niache kabsa.
1. Polisi maana hawa Jamaa hawajui kuwa nao ni binadamu na sana roho. Wamejisahau sana.
2. Siasa maana hawa anaweza kuongea jambo Leo watu wakafurahi na kucheka sana. Lakini kesho akaongea neno hilo hilo na watu wakachezea kichapo heavy.
NB:
Kuna course moja ya IT ninaifuatilia then after there nasepa nje ya bongo dadeki ninaweza kubadilisha hata uraia sitaki kufuatiliwa na Mchawi Karaba pamoja na Vibaraka vyake.
Itakua Hotel management