Kuna raia unfit sana kila analowaza ni low profit...hotels management ni bora kuliko kukaa home uku una type ufalaDaah pole mzee sijawah kufikiria hii kozi
Sent using IPhone 5s
Dah, hapa umenena ukweli mkubwa sana mkuuAfrica tumewekeza nguvu nyingi kwenye siasa na kulinda vyeo, sio future ya nchi zetu, hilo linajulikana. Kuna kile kipindi police wa Msumbiji waliua Watanzania wengi tu, kipindi hiki hiki cha mzee wa chattle, Watanzania wale walikwenda kuwekeza kule na baadhi yao walipeleka tecknolojia Fulani ya kuchenjua madini ya dhahahbu and the guys were making money, nilishangaa sana kauri za mhe No 1 kuwahusu raia wale walio uawa na serikali ya Msumbiji, nilishangaa sana. Ila hebu gusa nafasi zao uone, kila aina ya silaha iliopo gharani itatolewa but when it comes to the future of our country, walaa. So umasikini wa Africa ni wa kujitakia na sio mpango wa Mungu wala.
bongo hakuna mjuzi kama huyo na hatatokea kamweJamaa aliweza kuingilia mifumo ya jeshi la Marekani pamoja na NASA akadukua taarifa alizozitaka alafu bado mnatuaminisha jf tuko salama?
Maendeleo hayana chama
uzalendo umemuuaUmenifanya nimkumbe profesa Masau, daktari bingwa wa magonjwa ya moyo aliyetokaga ulaya sijui Marekani kule kuja kuokoa pesa za Watanzania waliokua wanakwenda India kutibiwa ugonjwa wa moyo, aliishia KUFA tu kwasababu ya stress, kibaya zaidi huaga nayakumbuka hadi maneno ya profesa Juma Athuman Kapuya akiwa bungeni, yaani alitoaga maneno ya shombo sana kwa profesa yule. Africa tumekua masikini kwa kujitakia. RIP prof Masau, Mkerewe wa watu