Mjue Godbles Lema na Lema Amin

Mjue Godbles Lema na Lema Amin

sisya

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
263
Reaction score
96
Kuna watu wamekuwa wanachanganya story ya Lema Amin na Godbles lema Mbunge,Lema Amini ni mfanyabiashara wa magari na anausishwa na mambo mengi ambayo sio mazuri.Kuna uzi uko humu jf unazungumzia ufisadi wa lema mbunge,huyu mtoa post hamuelewi lema vizuri,na aelewe lema ni ukoo mkubwa wapo wengi.Lema mbunge yupo safi.
 
Usafi wake ni kwako labda anakulisha na kukuvisha, kama ni uongo itajulikana na ukweli hivyohivyo, Richmond, Escrow zilianza tetesi mwisho maji yakamwagika..!!
 
Mtu akiamua kukuchafua hakosi sababu, tunaomjua Godbless Lema tunaelewa ni mtu safi mwenye hofu ya Mungu. Tatizo sio haiba yake anachafuliwa sababu ya UBUNGE wake wa Arusha mjini, wataishiwa tu hayo matusi siku moja lakini Lema ni jiwe kuu la pembeni.
 
Usafi wake ni kwako labda anakulisha na kukuvisha, kama ni uongo itajulikana na ukweli hivyohivyo, Richmond, Escrow zilianza tetesi mwisho maji yakamwagika..!!

Sio kila mtu wa kulishwa kama wewe unavyolishwa na lowassa
 
Kuna watu wamekuwa wanachanganya story ya Lema Amin na Godbles lema Mbunge,Lema Amini ni mfanyabiashara wa magari na anausishwa na mambo mengi ambayo sio mazuri.Kuna uzi uko humu jf unazungumzia ufisadi wa lema mbunge,huyu mtoa post hamuelewi lema vizuri,na aelewe lema ni ukoo mkubwa wapo wengi.Lema mbunge yupo safi.

Hata sie tuliopo Mwz tunathibitisha kuwa kama ni Lema Godbless (mbunge-Arusha) ni mtu safi na aliwahi kuishi Mwz akiwa kijana safi katika jamii. Pia kama ulivyosema Lema ni ukoo mpana na unawahusisha Lema wengi wakiwepo waliopo Mwz kwa sasa hivi na maeneo mengi nchini. Katika ukoo mkubwa hivyo hata ungekuwa mdogo hakosekani mwenye vitendo visivyoendana na jamii.
 
Lema huyu aliyegawa pacha zake chafu kwenye mikutano arusha sion busara yake hata kidogo
 
Nakumbuka mwaka 1998 kuna gazeti liliandika kwny ukurasa wake wa mbele 'Mkapa Aiba Kuku', watu wakakimbilia kununua gazeti wakitegemea ni Mkapa Benjamin! Kumbe ni kijana mmoja yupo Temeke huko snajiita Mkapa!

Watu tunatambulishwa kwa majina mawili au matatu kwa maana nzuri kabisa!
 
Back
Top Bottom