fine and performing arts pale mlimani ndio BA yake ana Hors ya usanii eroo
Mkuu mliman hakunaga degree inayoitwa Bachelor of fine art na Bachelor of art education kuna bachelor of fine and performing arts na Bachelor of arts with Education ambayo lowasa kasoma,Arts inamaana kubwa ata economics nayo ni arts,political science nayo ni arts hzo corse zote zpo kwenye faculty moja ya social science sku hz wanaita CASS.
Mkuu hyo degree yake inaitwa Bachelor of arts with Education,arts haimaanish maigzo peke yake au ngoma,Bachelor of arts with education kwa maana nyngne inaitwa degree ya sayansi jamii na elimu
Mbona ile shahada ya Mapambo na mazingaombwe haionekani.Shahada ya Kwanza ilikua Education Kweli?Huu ni ufisadi wa kitaaluma nao
Edward Lowassa hafahi kuongoza JMT ametawaliwa na Rushwa na Ufisadi kwa kifupi si muadilifu atafilisi rasirimali za taifa letu kwa kutuingiza kwenye mikataba mibovu yenye manufaa kwake,familia yake na marafiki zake tumeshuhudia Mkataba mbovu wa Richmond,tumeshuhudia pia akiwa mlezi wa UVCCM enzi hizo Dr Emmanuel Nchimbi akiwa M/Kiti UVCCM taifa waliandaa mkataba mbovu wakishirikiana na mwekezaji uliokuwa na harufu ya rushwa kwa jengo kubwa lililojengwa pale makao makuu ya UVCCM taifa ulikuwa mkataba wa milele usiokuwa na ukomo kwa mwekezaji , ndipo Nape Nnauye akaweka wazi uchafu huo na hapo m/kiti wa chama CCM kitaifa kwa kushirikiana na sekretariati yake kushtukia ufisadi huo na kuushughulikia na sasa mkataba huko vizuri unanufaisha pande zote mbili muwekezaji na muwekwezaji hiyo ni mifano michache ya ufisadi uliofanywa na Edward Lowassa akiwa kwenye nafasi za utawala inayomfanya Edward Lowassa hasifae kuwa raisi wa JMT kwa 2015 na miaka mingine yote ijayo.HANA SIFA YA UADILIFU maamuzi yake yote huwa yametawaliwa na rushwa na ufisadi.Mwigulu tuu atosha
WaTanzania wanasahau kwamba ufisadi ni sawasawa na kula nyama ya mtu, ukishaufanya huachi hata kama utapewa cheo na madaraka gani.Umesahau Ya Richmond ?
Mbona ile shahada ya Mapambo na mazingaombwe haionekani.Shahada ya Kwanza ilikua Education Kweli?Huu ni ufisadi wa kitaaluma nao
Mwigulu tuu atosha