Mjue Donald Trump

Mmmhh! Nimeanza aya ya pili kwa kusema: "Pili, si wazungu wote wabaguzi ......." Uliuona msitari huo? Hoja yangu ilikuwa kukanusha kwamba kuna watu weusi wachache kwa hivyo hawawezi kubadilisha mambo iwapo wazungu wanamtaka Trump.
 
Nafatilia sana siasa za USA trust me guys, trump hawezi kushinda, ila ataleta ushindan mkubwa sana.
 
Uzuri wa watu wa marekani ni kwamba, walio wengi wanauwezo wa kuchambua na kuelewa mambo kwa upana wake.

Watu wa Marekani sio watu unaoweza kuwabeba tu kwa Sera danganyifu za jukwaani.Huku duniani ndio mnaona ugumu wa uchaguzi huu ila ukweli ni kwamba wao washaona kuwa huu ni uchaguzi rahisi kuliko yote.
 
Hata Wamarekani hupotoka. Mwaka 2000, Al Gore vs. GW Bush. Wakamchagua Bush kwa sababu Al Gore alikuwa too serious and stiff. Walimchagua mtu anachekacheka na anasema yeye hafikiri sana na anafuata guts tu. Matokeo yake surplus yote aliyoiacha Clinton ilitoweka katika miaka miwili. Kwa hivyo wanaweza kabisa na wameshawahi kuchagua incompetent people.
 
Nyie watanganyika mnanchukia wa nini?Huyo ndiye rais ajaye wanUSA,huko hakuna kuchakachua wala kusema😀osari za uchaguzi zilikuwa ndogo sana.
 
Anasema; Africa lazima itawaliwe na wazungu, wa pate kuurudisha ustaarabu Wali uacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…