Unamlaumu mjomba ako bure tu, huna elimu lkn unataka kazi zinazohitaji elimu,
Hata kupigwa shoti ni haki yako tu, ulikiri mwenyewe unaweza wakati huwezi....
Mjomba wako alikiwa sahihi kutokupeleka dukani kwake, kwani ungekuwa mzigo, na angekuwa anapata short kila siku. Ndio maana akashindwa kukupeleka dukani kwake.
Kuhusu udaktari, hata kama ni Dr. Wa meno, wenzio wanasomea miaka kadhaa. Sasa wewe unataka kujua utabibu wa meno kwa kuambatana na Dr.? Ndio walewale unakuja kukuta mgonjwa badalaa ang'olewe Jino, utajashangaa anakatwa ulimi. Kama yale yaliyotokea Muhimbili kwenye wagonjwa wawili waliotakiwa kufanyiwa upasuaki wa kichwa na mwingine Mguu, kisha ikatokea vaisi vesa.