ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,821 Reaction score 24,986 Jun 1, 2018 #21 huyo ndio MARIOOOOO sasa wa dunia ya leo sio wale mapimbi wengine mamaeee
Abu_yazid JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 3,434 Reaction score 4,256 Jun 1, 2018 #22 Kwa akili tu ya kawaida ya kufikiria... HAO WANAWAKE NI WAKE ZA WATU
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,122 Reaction score 52,886 Jun 1, 2018 #23 Wanaume wa siku hizi woote wanapenda wanawake wenye pesa.sijui kwanini
Dejavu JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 1,568 Reaction score 3,428 Jun 1, 2018 #24 Miss Natafuta said: Wanaume wa siku hizi woote wanapenda wanawake wenye pesa.sijui kwanini Click to expand... Sababu siku hizi imekuwa rahisi sana kupata kyuma tofauti na zamani...so tunaona wanawake wanafaa kugeuzwa business venture au vikoba.
Miss Natafuta said: Wanaume wa siku hizi woote wanapenda wanawake wenye pesa.sijui kwanini Click to expand... Sababu siku hizi imekuwa rahisi sana kupata kyuma tofauti na zamani...so tunaona wanawake wanafaa kugeuzwa business venture au vikoba.
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,239 Reaction score 54,759 Jun 1, 2018 #25 Moisemusajiografii said: Ndiyo. Akue kiakili. Mwili awaachie ustawi wa jamii. Click to expand... Hatimae tangu mwaka umeanza nimempata wa kunichekesha
Moisemusajiografii said: Ndiyo. Akue kiakili. Mwili awaachie ustawi wa jamii. Click to expand... Hatimae tangu mwaka umeanza nimempata wa kunichekesha
D Deleted member 485868 Guest Jun 1, 2018 #27 Dada umenikumbusha kuna rafiki angu baba ake ni wa sampuli hiyo..alizaa na wake wanne tofauti Mama wa rafiki angu ni daktari mkuu uko manyara Mama mwingine yuko TRA ana cheo hivi Mama mwingine mbunge Mama mwingine yuko UN Tangu wazaliwe hadi chuo hawajui ada ya Baba yao
Dada umenikumbusha kuna rafiki angu baba ake ni wa sampuli hiyo..alizaa na wake wanne tofauti Mama wa rafiki angu ni daktari mkuu uko manyara Mama mwingine yuko TRA ana cheo hivi Mama mwingine mbunge Mama mwingine yuko UN Tangu wazaliwe hadi chuo hawajui ada ya Baba yao
gilldenu JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 2,909 Reaction score 3,026 Jun 1, 2018 #28 Moisemusajiografii said: Ndiyo. Akue kiakili. Mwili awaachie ustawi wa jamii. Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Moisemusajiografii said: Ndiyo. Akue kiakili. Mwili awaachie ustawi wa jamii. Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,032 Jun 1, 2018 #29 Miss Natafuta said: Wanaume wa siku hizi woote wanapenda wanawake wenye pesa.sijui kwanini Click to expand... Mmh...wote[emoji15] [emoji15] Mi simo humo
Miss Natafuta said: Wanaume wa siku hizi woote wanapenda wanawake wenye pesa.sijui kwanini Click to expand... Mmh...wote[emoji15] [emoji15] Mi simo humo
JOTO LA MOTO JF-Expert Member Joined Apr 11, 2018 Posts 766 Reaction score 563 Jun 1, 2018 #30 Muosha huoshwa, walisema Wahenga. Huenda nao huko wana ma branch yao kulingana na mahitaji yao...yupo wa mashine, yupo wa kiuchumi n.k. Mjini shule mjini...mjini chuo kikuu.
Muosha huoshwa, walisema Wahenga. Huenda nao huko wana ma branch yao kulingana na mahitaji yao...yupo wa mashine, yupo wa kiuchumi n.k. Mjini shule mjini...mjini chuo kikuu.