Mjini shule

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Huyu jirani yangu ni mwanaume wa 37, hajaoa na ni mfanya biashara. Katika hao wake watarajiwa kuna banker, daktari na mfanya biashara mwenye grocery kama tatu mjini hapa.

Hawa wanawake hawajuani na kila mtu anajiona ni the right candidate. Mkaka ananiambia hatoki na mwanamke asiye na faida kwake. Anasema yeye akinunua handbag ya designer kama zawadi kwa mwanamke ameshajua pesa yake itarudi vipi.

Dunia simama nishuke.
 
Duuh! Na kweli kajua kujiongeza sababu upande wa pili pia hakuna tegemezi wote hao wana uwezo wa kufanya wanachokitaka nje ya pesa ya huyo Me.

Hivyo hata akitoa msaada ni mdogo sana ambao hauna maumivu kwake. Kweli mjini Shule.

Na Mungu anamuona pia kwa kuwafanya hivyo madada wa watu.
 
Jamaa katumia akili mingi. Swali la kujiuliza aliwezaje kuwatongoza wote wa tatu hadi wakamkubali? Swali la pili Je siku ya kuoa atamuoa yupi? Swali la tatu je amazaa nao na kama hakuzaa nao kwanini hakuzaa nao na pia hao wanawake wao kwanini wasijiulize kuhusu kuzalishwa? Swali la nne hilo somo la kutongoza wanawake amepata wapi maana hawa viumbe saa zingine wanachoshaga akili hadi unaamua kuwa na mmoja tu? Swali la mwisho Je akipata ukimwi,Gloria,Gonoria,Kaswende,Kisonono,Panga sisi a.k.a Fangasi atamlaumu yupi kati ya hao. Mwisho naomba aongeze jamani wanawake ni wengi kuliko wanaume Babu yangu alikuwa na Arobaini. Ajitahidi jamani kutoa msaada huo huo
 
Swali la kwanza halina mashiko.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…