Mjini raha

ha haaa hapo sasa
ngoja niangalie uwezekano wa kupata nyumba jirani na Magogoni, lol!
Hahahahahaha umenifurahisha my twin sasa pale magogoni duh utapataje nyumba maeneo yale labda uende kigamboni ili mradi kule kijijini ukiulizwa unawapa location ya magogoni karibu na mdingi wa linchi letu kamwe usiseme sijui unakaa kigamboni au nini hapana.
 
mm mm, nataka pale pale magogoni..... kigamboni mbali twin
 


duh! wengine tumeondoka mjini , na hatuna mpango kurudi huko...
tupo pori kuzisaka , mjini tunakuja kutumia tuu! na huku kijijini mambo ya digitalia yananasa vile vile,,,,,,, ila ukweli mjini raha kama unazo mfukoni na kwenye akaunti za kutosha kutumia bila mawazo.
 

Najua wewe uko mgodini, kaza buti babuu ulete mjini tuzitumie. Hela ya kidume inaliwa na kijike.
 
Kijijini sembe iwepo?wanaitoa wapi? mijini raha hasa ukimpata bwana muuza sembe anayeweza badilisha status from unknown to known....hehehe msinisute mie.

Bora umejihami mapema coz wananchi wangekuweka kati sasa hv!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…