Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
- Thread starter
-
- #21
naona wa born here here haituhusu.
Ila Mrembo by Nature ujue kijijini raha sana yaani kuku mweupe anachemshwa na chumvi tu ila mtamu balaa
siyo huku makuku yetu ya rangi
Heeehh aliibwa alichukuliwa mwenyewe na akatembea kwa miguu yake miwili? hapo ni karata zilichezwa vizuri. Ukiona mjinga analia jua kuna mjanja anacheka. Ushoga wa kweli ni kijijini tena ushoga ule wa kusukana nywele chini ya miembe. Mjini tunakutana kimisheni town tu likiwepo dili watu wanageukana fasta, kwani hujui???chezeya mjini wewe, sema ndo tatizo la town bwana lazima umfiche manake wakijua zimo hawaishi kukupindua. Wtamganda weee kama inzi, mara oohhh shemeji naomba mkopo, shemeji mwanangu anaumwa naomba lift ya hospo....akikaa sawa mara kakosea kutuma meseji ya mapenzi imeingia kwa shemeji, mara ndoa, haoooo umeachwa solemba.
Mjini mipango.
eti ulimwibia shogako ule hela za dona 1
eheheee umeona eeeh....halafu wewe ni mwizi ukiibiwa unaona issue... mkuki kwa nguruwe sio?Heeehh aliibwa alichukuliwa mwenyewe na akatembea kwa miguu yake miwili? hapo ni karata zilichezwa vizuri. Ukiona mjinga analia jua kuna mjanja anacheka. Ushoga wa kweli ni kijijini tena ushoga ule wa kusukana nywele chini ya miembe. Mjini tunakutana kimisheni town tu likiwepo dili watu wanageukana fasta, kwani hujui???chezeya mjini wewe, sema ndo tatizo la town bwana lazima umfiche manake wakijua zimo hawaishi kukupindua. Wtamganda weee kama inzi, mara oohhh shemeji naomba mkopo, shemeji mwanangu anaumwa naomba lift ya hospo....akikaa sawa mara kakosea kutuma meseji ya mapenzi imeingia kwa shemeji, mara ndoa, haoooo umeachwa solemba.
Mjini mipango.
ushoga kujijini
mjini kila mtu ni mission town
eheheee umeona eeeh....halafu wewe ni mwizi ukiibiwa unaona issue... mkuki kwa nguruwe sio?
Tubanane hapa hapa, na walio kijijini wakivuna tu wanakuja mjini alafu watarudi msimu wa kupanda. Ndo style zao siku hizi.
Na sisi tuliozaliwa mjini tusemeje?! Ha! ha! haaaaaaaaa!! napita tu nikipata nauli nitarudi......!!
Na misosi kama hii kwa kutunza NGUVU ZA KIUME balaaa
na huko kijijini wakiwa wanarudi wanarudi mikono mitupu....
akikumbuka sana atarudi na mbegu msimu huo wa kupanda
chezeya mujini
Mimi nimetia nanga kijijini sirudi, beach ningeionea wapi kama sio kuwa mjini? ningejuaje facebook kama sio mjini, instagram je?blog ya ma mkubwa je? Mwenzenu killage sirudiiiiiii waache wale kuku wa kienyeji mtamu ila huku raha sana
yote tisa kumi uwe na shoga halafu huyo shoga akuzunguke atembee na bwana ako achukue jumla kabisa,huyo shoga ni kauzu maana pengine siri zako unampa matokeo yake anaitumia weakness yako kukupindua.hapo hakuna ushoga,na kadi ya harusi umpe mmh ngumu kumeza.kwenye shuhuli si utahisi kama kila kitu unafumbiwa wewe.
MbyN mbona sie tupo bush na tunayapata hayo ma face a book, tunatwit na mengine kibao, mjini siendi tene kama dar ndo balaa zaidi foleni z kufa mtu mi nikiamua kwenda kula mchana nyumbani inawezekana sii karibu. mjini siendi kuamka saa kumi kama mwanga eti waenda kazini mbona taabu....haya vitoto vya huko havikui vizuri hawapati muda wa kulala kutwa kuchwa barabarani mnaishia kulala ktk daladala....
Mjini mie siendi hku tuna kula vitu orijino kuku kuku kweli, mboga ya majini wajichumia shamba, matunda yapo mtini parachichi, embe, chungwa wajichagulia
MJINI SIENDI..
MbyN mbona sie tupo bush na tunayapata hayo ma face a book, tunatwit na mengine kibao, mjini siendi tene kama dar ndo balaa zaidi foleni z kufa mtu mi nikiamua kwenda kula mchana nyumbani inawezekana sii karibu. mjini siendi kuamka saa kumi kama mwanga eti waenda kazini mbona taabu....haya vitoto vya huko havikui vizuri hawapati muda wa kulala kutwa kuchwa barabarani mnaishia kulala ktk daladala....
Mjini mie siendi hku tuna kula vitu orijino kuku kuku kweli, mboga ya majini wajichumia shamba, matunda yapo mtini parachichi, embe, chungwa wajichagulia
MJINI SIENDI..
kijijini kuna dona
Mjini raha kweli kweli, kijijini mimi sirudi mwenzenu. Tutabanana hapa hapa. Kwani nani asiyependa kupanda daladala, kutumia maji ya bomba kuogea badala ya kuogea mtoni, kupikia gesi badala ya kupikia mkaa/kuni, kwani nani asiyependa kutembea kwenye barabara ya lami badala ya kutembelea kwenye udongo mwekundu ? kweli kabisa mimi kijijini sirudi.
Tutabanana hapa hapa. Wewe utarudi kweli?