Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Mkoa wa Mjini Magharibi ni moja kati ya mikoa 31 ya Tanzania na unapatikana ndani ya Kisiwa cha Unguja. Mkoa huu una wilaya tatu ambazo ni Mjini, Unguja Magharibi A na Unguja Magharibi B.
Mkoa huu una wakazi takriban 893,169 kulingana na sensa ya mwaka 2022. Jimbo la Pangawe linaongoza kwa kuwa na watu wengi (93,763) likifuatiwa na Jimbo la Mwera ambalo lina idadi ya (watu 89,056). Jimbo lenye idadi ndogo ya watu ni Amani ambalo lina watu 20,626.
Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mkoa wa Mjini Magharibi una jumla ya Majimbo 17, Baraza (Wilaya) 17 na Wadi 43.
Majimbo ya Mjini Magharibi ni pamoja na;
- Malindi
- Shaurimoyo
- Chumbuni
- Amani
- Magomeni
- Mpendae
- Jang'ombe
- Kwahani
- Bububu
- Mwera
- Welezo
- Mtoni
- Mwanakwerekwe
- Pangawe
- Fuoni
- Dimani
- Kiembe Samaki
2024
2025
Januari
Februari
- CCM yawahimiza vijana na madereva wa Boda boda kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura
- Tauhida Gallos Nyimbo ateta na Viongozi, asisitiza kujiandikisha kwenye saftari
- Zanzibar: Polisi wakanusha taarifa ya Mjumbe wa Kamati Kuu ACT kudaiwa kutekwa na vyombo vya ulinzi, wasema alikamatwa na kuachiwa kwa dhamana
- Hemed akabithi Iftari kwa watendaji zaidi ya 330 wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
- Mbunge Tauhida Gallos Atoa Wito Waasisi na Wazee Kuthaminiwa
- Rais Dkt. Mwinyi atoa mkono wa Eid kwa wenye mahitaji maalum Zanzibar
- INEC yaahirisha uchaguzi Fuoni, sababu ni kifo cha mgombea
- Dkt. Mwinyi aahidi kuongeza barabara na skuli za ghorofa pangawe - Zanzibar
- ZEC yaweka wazi watakaopiga kura Zanzibar, watu 8,325 wakosa sifa
- Dkt. Mwinyi kuja na mpango wa uwekezaji mkubwa hoteli ya Bwawani
- ZEC: Watu wenye Ulemavu 8,021 watashiriki Uchaguzi Mkuu Zanzibar Oktoba 29, 2025
- Dkt. Mwinyi: Serikali kuimarisha Viwanja vya Michezo ili vikidhi viwango vya Kimataifa
- Dkt. Mwinyi aahidi kuwapa Wajasiriamali wadogo mikopo na mitaji midogo Zanzibar
- Othman Masoud: Viongozi wapimwe kwa wanavyojali wananchi
- Othman Masoud: Hatuwezi kukubali kupata rais wa nchi yetu kwa njia za kihuni
- Mwinyi ahahidi kutoa fidia kwa wananchi waliotoa maeneo yao kujengwa mji wa Fumba
- Kikwete: Jitokezeni kwa wingi kupiga kura
- Othman Masoud: ACT-Wazalendo yakubali Kura ya Mapema Zanzibar
- ACT Zanzibar wanalia wizi Kura ya mapema: Watu wameletwa kwa Mabasi kupiga Kura bila mawakala ndani ya kituo