Mjini cha bure salamu tu.

Kila ukinya unataka na kuoga unafikiri haitofika 2000 na itazid ww endelea
 
2000!!! Unaharisha?
 
Pale kwenye vipoli vya UD nilishamshuhudia Sister Du akishusha vyombo, nipo njian napita naskia kichakan pta pta pta ptraaaa, kuinama nakutana na mnduku mweusi kama ukuta wa jikoni notes zpo pembeni.
Kwa hiyo mkuu uliona mnduku tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…