Mima white cute
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 740
- 1,305
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mayooooooo Leo asotaka hasara ,imekufikia hasara !!.Yahni siamini kama mpaka sasa hivi imekatika buku mbili hivi hivi kwa ajiri ya kulipia toilet tu...🙂
Sasa nimeamua kufanya maamuzi magumu kuanzia muda huu nimesitisha kutumia kinywaji cha haina yeyeote mpaka nitakapolejea nyumbani.
Sipendi hasara za kujitakia mimi🙂😉.
Jioni njema
Tumbo la kuhara ni noma utaadhirika bureee kwa ubahili wakoYahni siamini kama mpaka sasa hivi imekatika buku mbili hivi hivi kwa ajiri ya kulipia toilet tu...🙂
Sasa nimeamua kufanya maamuzi magumu kuanzia muda huu nimesitisha kutumia kinywaji cha haina yeyeote mpaka nitakapolejea nyumbani.
Sipendi hasara za kujitakia mimi🙂😉.
Jioni njema
uswahilini mwenyewe unagonga nyumba yoyote. 🙂🙂🙂🙂🙂🙂[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mayooooooo Leo asotaka hasara ,imekufikia hasara !!.
Uko msalani wameunganisha huduma ya internet na kutolewa bure kwa watumiaji wake au ????.
Ila na wewe inaelekea hodari wa kunya aisee umekata buku mbili kwa kulipia kunya khaaYahni siamini kama mpaka sasa hivi imekatika buku mbili hivi hivi kwa ajiri ya kulipia toilet tu...🙂
Sasa nimeamua kufanya maamuzi magumu kuanzia muda huu nimesitisha kutumia kinywaji cha haina yeyeote mpaka nitakapolejea nyumbani.
Sipendi hasara za kujitakia mimi🙂😉.
Jioni njema
Yahni jua Kali unatamaniii kunywa maji mengi ila sasa ukishakunywaaa utegemee hasara za kutosha kwenda toilet🙂🙂🙂umekunywa lita ngapi wakati upo nje ya nyumbani shem darling?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jibane upitie kwa Rais Putin ,wala hutolipia kitu .Ha ha ha uswahili q
uswahilini mwenyewe unagonga nyumba yoyote. 🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Mama weeee kwa huduma hiyo ukimaliA pesa yote kwa Siku moja ukimaliza muone daktar.Ila na wewe inaelekea hodari wa kunya aisee umekata buku mbili kwa kulipia kunya khaa
Duuhh watu wakavu aiseeeIla na wewe inaelekea hodari wa kunya aisee umekata buku mbili kwa kulipia kunya khaa
A haha haaaa ha sio hiyo mkuu maji mengi mkuu jua Kali sasa linasabisha hasara za kwenda toilet Mara kwa mara.....na vyuma hiviTumbo la kuhara ni noma utaadhirika bureee kwa ubahili wako
Ha ha haaaaaaDuuhh watu wakavu aiseee
Sasa we chukua 2000 gawanya kwa mia 2 uone kanya mara ngapi? Anastahili pongezi khaaDuuhh watu wakavu aiseee
Kwa kweli wacha tu nijkazeee nikitoaka hapa speed za hatariiiii bila kugeuka nyuma....@Vladimirovich Putin.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jibane upitie kwa Rais Putin ,wala hutolipia kitu .
Ha ha ha ha hiyo kauwa watu huyo sister du sio wasport sport.Pale kwenye vipoli vya UD nilishamshuhudia Sister Du akishusha vyombo, nipo njian napita naskia kichakan pta pta pta ptraaaa, kuinama nakutana na mnduku mweusi kama ukuta wa jikoni notes zpo pembeni.