Asante kwa mchango wako mkuu, lakini mimi nimetoa tahadhari tu.Nilivyosoma text conservation yenu nimegunduwa wewe ndio ulitaka kumtapeli mwenzako yani upewe vifaranga 100 kwa shilling 17,000/= tu.
acha kumchafuwa mwenzako hata tukienda mahakamani huu siyo ushahidi wa kuthibitisha umetapeliwa ni wewe ndio ulitaka kutapeli na pesa ya tapeli huwa haina refund.
Kwel kabisa anatuharibia na wengineKazi ipo sijui kwanini kuna watu wana tabia ya kuharibu biashara za mitandaoni kiasi kwamba hata tunaofanya aina hizi za biashara tunaonekana waongo.Mkuu pole kwa yaliyokukuta siku ingine chukua tahadhari unapofanya biashara za mitandaoni ni vizur ujue kwanza ofisi ya muhusika ilipo ndo utume hela.
Mkuu, Ningumu kumtambua mwema na m-baya.Kazi ipo sijui kwanini kuna watu wana tabia ya kuharibu biashara za mitandaoni kiasi kwamba hata tunaofanya aina hizi za biashara tunaonekana waongo.Mkuu pole kwa yaliyokukuta siku ingine chukua tahadhari unapofanya biashara za mitandaoni ni vizur ujue kwanza ofisi ya muhusika ilipo ndo utume hela.
Hapa inaonesha wazi wewe ndio huijuwi hii dunia, tunafanya mengi global bila kujuwana na watu hao, siyo rahisi kama huna exposure kubwa kuelewa ninachokiandika hapa.HIVI BADO UNAAGIZA MZIGO KWA MTU USIEMJUA NA UNAMTUMIA PESA??HII DUNIA BADO SANA WATU KUPATA UELEWA
Inawezekana na wewe ni tapeli mwenza!! Huwezi kutetea wizi wa namna hii... Jamaa ni kweli katapeliwa!Nilivyosoma text conservation yenu nimegunduwa wewe ndio ulitaka kumtapeli mwenzako yani upewe vifaranga 100 kwa shilling 17,000/= tu.
acha kumchafuwa mwenzako hata tukienda mahakamani huu siyo ushahidi wa kuthibitisha umetapeliwa ni wewe ndio ulitaka kutapeli na pesa ya tapeli huwa haina refund.
Kwani ni wapi nimekwambia naandika ili niaminiwe na wewe? mjinga sana wewe, watu makini hatuwezi kuruhusu watu mchafuwe networking pasipo na ushahidi wa kujitosheleza, usidhani kwa sababu natumia Id fake basi mimi ni ghost, najuwana na watu wengi tu humu na tunafanya mengi, ndio maana wapuuzi kama wewe tunawaelekeza, huna evidence ya kumuita mtu tapeli wakati hiyo text conversation wazi inaonesha wewe ndio tapeli uliyetaka kujipatia vifaranga 100 kwa shilling 17,000/= tu.Kwajinsi unavyo mtetea, napata wasiwasi na wewe mkuu...[emoji45] [emoji45]
Mkuu, haiwezekani utuaminishe kwamba exposure ni kinga ya kuhalalisha wizi.Hapa inaonesha wazi wewe ndio huijuwi hii dunia, tunafanya mengi global bila kujuwana na watu hao, siyo rahisi kama huna exposure kubwa kuelewa ninachokiandika hapa.
Basi sawaKwani ni wapi nimekwambia naandika ili niaminiwe na wewe? mjinga sana wewe, watu makini hatuwezi kuruhusu watu mchafuwe networking pasipo na ushahidi wa kujitosheleza, usidhani kwa sababu natumia Id fake basi mimi ni ghost, najuwana na watu wengi tu humu na tunafanya mengi, ndio maana wapuuzi kama wewe tunawaelekeza, huna evidence ya kumuita mtu tapeli wakati hiyo text conversation wazi inaonesha wewe ndio tapeli uliyetaka kujipatia vifaranga 100 kwa shilling 17,000/= tu.
unashangaa hiyo.kuna mmoja huku anaomba ushauri kaambiwa atume hela ameshinda dola laki 2 kwenye mtandao[emoji16][emoji16] . mi nasema wapigwe tuHIVI BADO UNAAGIZA MZIGO KWA MTU USIEMJUA NA UNAMTUMIA PESA??HII DUNIA BADO SANA WATU KUPATA UELEWA
Hivi mtu akikuita shoga na haushiriki vitendo vya ushoga itakuumaje? same to you mimi nakupuuza tu, kunifananisha na matapeli mimi kwangu siyo shida kwa sababu hunijui, na wanaonijuwa wananijuwa mimi mtu wa kariba gani.Inawezekana na wewe ni tapeli mwenza!! Huwezi kutetea wizi wa namna hii... Jamaa ni kweli katapeliwa!
Maana aliombwa nauli tu, naye akatuma hiyo nauli. Ila baadae zikaanza 'sound' za kulipia kuku baadhi wakati mwanzo aliambiwa kabisa kuwa hatalipwa pesa ya kuku mpaka wamfikie!....why alibadilika katikati ya mazungumzo baada ya kutumiwa nauli kama siyo tapeli huyu Muuza Vifaranga 'feki'?!?....