Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,099
Ameweka matangazo kadhaa kwamba anauza kuku/vifaranga, kumbe ni tapeli na anatumia njia ya laghai kudanganya watu humu jf kisha anapotea na pesa.
Naomba wengine waliokua na nia ya kuhitaji bidhaa kutoka kwa huyu bwana wachukue tahadhari.
Hicho ni kiasi cha pesa nilio mtumia kwaajili ya kusafirishia mzigo.
Hizo ni conversations zangu na tapeli huyo wa jf.