Mji ya TANGA

Mji ya TANGA

Leo 18/072018. Maji yanayo toka kwenye mabomba ya mji wa TANGA kweli ni aibuu kwa uongozi wa mkoa mzima.
Nimeamka asubuhi kujianda kwenda kwenye mizunguuko ya siku ile nafungulia maji kweli nitope tupu, haya fai hata kwa mifugo.
Sio mara ya kwanza kwa Maji ya tanga kutoka yakiwa machafu kwenye mabomba. Cha kushangaza huta sikia mtu akitoa tamko.
Sisi wananchi tunaendelea kulipia BILI maji ambayo haya fai kwa matumizi ya binadamu.
Hata siku moja sijawahi kupata barua toka Idara ya Maji Tanga (TANGA UWASA) kuomba MSAMAHA au kuelezea kuwa hakutakuwa na tozo kwa maji ya siku fulani ambayo yalikuwa machafu.

MAJI YA TANGA LEO HAYAFAI KWA MATUMIZI YA BINADAMU. HASA KWENYE KATA YA MABAWA.

Hii ni aobu kwa Jiji la Tanga. TANGA UWASA je hii nisawa kutulipisha bili za maji machafu?????View attachment 812338View attachment 812339
Inaonyesha tangazo hukiliona
IMG-20180714-WA0002.jpg
 
Bora aondeke maana sasa hivi wanatuibia. Huwezi kulipia huduma isiyofaa. Mimi hili swala na weza kuliita wizi wa serekali kwa wananchi
Lakini hii siyo mara ya kwanza. Mara zote wakiwa wanasafisha tope inakuwaga hivi. nyway labda kuna techolojia zaidi ya hii katika kufanya usafi wa mabomba.
 
Inaonyesha tangazo hukiliona View attachment 812390
Nimejaribu kusoma angalau nione mahali wamesema baada ya kusafisha mtapata maji machafu kwanza. Mkuu uwe unaelewa nini nilicho andika. Wao kusafisha tank la mowe sio swala la kinifanya mimi kunywa na kulipia maji machafu.
 
Tangazo la kukatika maji tulisikia walitakiwa watupe na tangazo la kutunywesha maji machafu. Je hilo tangazo unaona kuna mahali lina zungumzia huu upuuzi???
IMG_20180718_110207.jpg
 
Lakini hii siyo mara ya kwanza. Mara zote wakiwa wanasafisha tope inakuwaga hivi. nyway labda kuna techolojia zaidi ya hii katika kufanya usafi wa mabomba.
Mkuu nchi zilizo endelea wana fanya kitu kina iwa water recycle lakini hakuna siku watu wana kunywa kinyesi. Tank ya MOWE ilipo ninapafahamu. Kwanini walipo safisha wasinge mwaga maji nje kuliko kuyasukuma wanchi wanywe??
 
Hawajaweka mdalasini kweli jaribu kuuliza mkuu siunajua uko ni mji wa maraha.
 
Hawajaweka mdalasini kweli jaribu kuuliza mkuu siunajua uko ni mji wa maraha.
Maji yanayotoka kwenye bomba yana nuka kabisa. Hawa TANGA UWASA wanatichezea. Kila ikitokea tunanyamaza ila sasa hatuta nyamaza. Ukichelewa kulipa bili wanakata na faini juu. Ila wao wakifanya upuuzi tunanyamaza.
 
Poleni sana mkuu hapa morogoro tunauhaba wa maji ila wanajitahidi kidogo kuyagawa hivyo hivyo
 
maji sio kipaumbele kwa sasa,sasaivi kipaumbele ni kufufua shirika la ndege,treni ya mwendo kasi na stigla,ukiwa unaenda kuoga na maji yako hayo ya rangi ya udongo utembee kifua mbere,na marufuku kununa.
 
Poleni sana mkuu hapa morogoro tunauhaba wa maji ila wanajitahidi kidogo kuyagawa hivyo hivyo
Bora yawe masafi. Sijuii kama Kitilya anajua wakurugenzi wake vizuri. Naona hapo juu kuna aliopo ofisini kanitumia tangazo lao wakati mimi nazungumzia usafi wa maji. Ndio nimejua serekali imeajiri watu wa namna gani.
Mtu anajibu swali ambalo hajaulizwa.
 
Mkuu nchi zilizo endelea wana fanya kitu kina iwa water recycle lakini hakuna siku watu wana kunywa kinyesi. Tank ya MOWE ilipo ninapafahamu. Kwanini walipo safisha wasinge mwaga maji nje kuliko kuyasukuma wanchi wanywe??
Sina utaalamu wa hiyo kazi ila naona kote kuko hivyo. Tank sawa je mabomba kama yana tope wanafanyaje. Wanatuletea maji machafu hatuyatumiii na mita inasoma, terrible!
 
Sina utaalamu wa hiyo kazi ila naona kote kuko hivyo. Tank sawa je mabomba kama yana tope wanafanyaje. Wanatuletea maji machafu hatuyatumiii na mita inasoma, terrible!
HAPO KWENYE MITA KUSOMA......HUWA NAUMIA SANA
 
Sina utaalamu wa hiyo kazi ila naona kote kuko hivyo. Tank sawa je mabomba kama yana tope wanafanyaje. Wanatuletea maji machafu hatuyatumiii na mita inasoma, terrible!
Hapa ndipo maumivu yalipo
 
Back
Top Bottom