Tetesi: Mji wa Uvira uko mikononi mwa wa waasi wa M23

Tetesi: Mji wa Uvira uko mikononi mwa wa waasi wa M23

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
Mpaka sasa, taarifa zisizo na vumbi, mji wa UVIRA, makao makuu ya Kivu kusini, upo mikononi mwa waasi wa serikali ya DRC, ambao ni M23.

Ikumbukwe, wapiganaji wote wa upande wa serikali ya DRC, asilimia kubwa wamekimbilia nchini Burundi, huku wengine wakiwa wameelekea Kalemie.
Kalemie, ni mji uliopo mashariki kusini mwa nchi hiyo, ambao hufikika kwa njia ya maji ukitokea nchini Burundi.

Haijajulikana kama safari ya M23 itawafata huko ambapo ni uelekeo wa Lubumbashi, mpakani mwa nchi hiyo na Zambia.
Ikiwa mpango ndo huo, basi Congo na Burundi si majirani tena.

==============================

Rwandan-backed rebels pushed into the outskirts of the strategic city of Uvira in eastern Congo on Tuesday, local authorities said, as part of a new offensive that the U.N. says has displaced more than 200,000 residents in recent days.

The latest offensive by the Rwandan-backed M23 rebel group comes despite a U.S.-mediated peace agreement signed last week by the Congolese and Rwandan presidents in Washington. The accord did not include the rebels, who are negotiating separately with the Congo and agreed earlier this year to a ceasefire that both sides accuse the other of violating, but it obliges Rwanda to halt support for armed groups and work to end hostilities.

Source: France 24
1765373841864.png
1765377409347.png
 
Kwahio Trump kashindwa wapatanisha juzi?
Hiyo ni sinema zetu mjomba. Toka lini mzungu ana huruma na mtu mweusi? Sudani vita vina muda gani? Uliwahi msikia! DRC, ndo nchi yenye utajiri ardhini number moja duniani. Na utajiri wote,asilimia kubwa, upo hapo mashariki.

Ni kama watu walipimana uwezo kujua nani anaweza simamia miradi. Maoni yangu lakini.
 
Si waigawe iwe nchi mpya ili wajichotee mali bila usumbufu? Wanaweza pata hizo mali bila vita
 
Si waigawe iwe nchi mpya ili wajichotee mali bila usumbufu? Wanaweza pata hizo mali bila vita
Elewa, Trump baada ya kusaini pande zote, alitabasamu na akasema sasa, wote wanaenda kupata mabilioni ya pesa.
Kiwanda cha kusafisha madini kutoka DRC, kipo Rwanda. Alitia saini rais wa Congo. Madini yatachimbwa, yapelekwe Rwanda, yachakatwe, ndo yasafilishwe.
Mpaka hapa hakika umeelewa kinachoendelea.
 
Au kipindi wanashudia mkataba was Rwanda na drc walisau kuchukua naomba za trump
 
Elewa, Trump baada ya kusaini pande zote, alitabasamu na akasema sasa, wote wanaenda kupata mabilioni ya pesa.
Kiwanda cha kusafisha madini kutoka DRC, kipo Rwanda. Alitia saini rais wa Congo. Madini yatachimbwa, yapelekwe Rwanda, yachakatwe, ndo yasafilishwe.
Mpaka hapa hakika umeelewa kinachoendelea.
Kipengele cha kusitisha au kamaliza vita hakikujadiliwa?
 
Nasemaga kila siku Waafrica tunatakiwa kujisimamia na kutatua matatizo yetu wenyewe bila wazungu, juzi tumeona Trump ameenda kutatua huo mgogoro ila mambo ndo kama hivyo mnavyoona.

Kiufupi hata hii habar yetu ya kumshtak Malkia wa malawi naona ni kama kupoteza muda tu maan wazungu nao sio wa kuwaamini sana.

Waafrica tujifunze kujikomboa wenyewe
 
Ni ngumu,kwa sababu kwa swala kama hili,ni wazi marais wanatunishiana msuri na kudhalauliana, na huku ni wazi nyuma ya pazia kuna mikono mizito ambayo ni chanzo. Usitegemee umoja wa ngozi nyeusi,wakati kila mtu anavutia kwake.
 
Ila Mods mnatuangusha sana. Hii taarifa imetangazwa nikiwa na uhakika 100%. Sasa,mnaiita Tetesi ili iweje? Si bora mngekuwa mnafata mleta mada na kuuliza uhakika na anachokiandika!
 
Hiyo ni sinema zetu mjomba. Toka lini mzungu ana huruma na mtu mweusi? Sudani vita vina muda gani? Uliwahi msikia! DRC, ndo nchi yenye utajiri ardhini number moja duniani. Na utajiri wote,asilimia kubwa, upo hapo mashariki.

Ni kama watu walipimana uwezo kujua nani anaweza simamia miradi. Maoni yangu lakini.
ujinga unazalisha audicity.
huijui hata Nchi Tajiri Duniani kwa natural resources ni hipi lakini unaujasiri kuondika vitu usivyovijua.

hakuna nchi Africa iliyopo kwenye nchi 10 zenye natural resources nyingi duniani.
Nchi Tajiri duniani kwa natural resources ni Russia na hadi ya kumi hazipo Africa.

kinachotokea Kongo na Africa kwa ujumla mataifa ya kigeni yanamkono kidogo sana unless uongelee Ugadi wa kidini amba uko founded na middle East Countries.

incompetence ya mtu mweusi msalaba wake anabebeshwa mzungu.
Samia anaua watu, lawama wazungu.

hadi tutakapo ukubali ukweli ndiyo Africa itajikwamua.
 
Hiyo ni sinema zetu mjomba. Toka lini mzungu ana huruma na mtu mweusi? Sudani vita vina muda gani? Uliwahi msikia! DRC, ndo nchi yenye utajiri ardhini number moja duniani. Na utajiri wote,asilimia kubwa, upo hapo mashariki.

Ni kama watu walipimana uwezo kujua nani anaweza simamia miradi. Maoni yangu lakini.
Huo ujinga kuwa eti DRC ni taifa namba 1 Duniani katika utajiri wa natural resources, huwa mnalishwa na nani?

Ni kweli DRC ina utajiri mkubwa wa madini, lakini haiingii hata katika top 5 za Dunia. Nchi inayoongoza kwa utajiri wa natural resources ni Russia. Soma hii, itakusaidia kuondoa ujinga:

leading countries in natural resources:
Russia, the U.S., Saudi Arabia, Canada, Iran, China, Brazil, Australia, Iraq, and Venezuela are consistently ranked as the top 10 countries with the highest total natural resource wealth, primarily driven by vast reserves of oil, gas, coal, timber, and minerals like gold, iron ore, and rare earths, though rankings can vary slightly by report and year. Russia leads significantly, followed by the US, with substantial resource values from diverse sources.
 
Kichwa chako cha habari kilitakiwa kisomeke hivi "Mji wa Uvira uko mikononi wazalendo wa M23" na sio eti huko mikononi mwa waasi.

Hakuna makundi ya waasi hatari kama hizi serikali zenu mnazoziita serikali za kiraia.
We ndio umeongea facts, wangejua hao serikali ndio sasa mafia madini wanauza kwa mikataba mibovu kwa kupewa visenti vichache vya kunufaisha familia tu. Ila cha ajabu waasi wakichukua unaambiwa wanatumika na mabeberu!!
 
Kwahio Trump kashindwa wapatanisha juzi?
Nachofikiri Walipatanishwa Rwanda na DRC sidhani kwenye mazungumzo Rwanda ilikiri kumsaidia M23? Kama haikukiri basi kinachoendelea ni sawa maana M23 wangeacha mapigano ingeonyesha ni kweli Kigali ina mkono wake.
 
Back
Top Bottom