ha ha ha ha serikali itajitekenya na kucheka yenyewe hakuna aliyejuu ya sheria Mtwara hoyeeeeeeeeeee wakikumbuka tuu nguvu ya wananchi wa Mtwara inabidi lugha zibadirike na ziwe lugha za upole tuliuliza hapa Proffessor amepata wapi nguvu ya kuamua hata bila bunge kupitia hiyo sheria
Baada ya malalamiko ya Wananchi na Madiwani pamoja na Wadau mbalimbali hatimae Serikali kwa kupitia kwa Waziri wake Anna Tibaijuka imeurudisha mji wa Kigamboni Chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Temeke.
Ametoa ufafanuzi ya kuwa kitengo cha kuuboresha mji huo kitabaki kikijitegemea ila shughuli nyingine zitakuwa chini ya mkuu wa Wilaya kama mwanzo.
Huu utaratibu wa serikali kujiamulia mambo yake kienyeji bila kushirikisha washikadau wakubwa ambao ni Wananchi si mzuri umepitwa na wakati na zaidi huchochea Vurugu.
Chanzo. StarTv
It doesnt matter. Whether Kigamboni ipo temeke, mbagala, ilala, keko or Lindi region, we dont care. Haituhusu. Tunachotaka kuona sisi ni maendeleo. Mji safi, barabara, hospitali, umeme, masoko ya kisasa, shule za sekondari, vyuo nk. nk.
It doesnt matter. Whether Kigamboni ipo temeke, mbagala, ilala, keko or Lindi region, we dont care. Haituhusu. Tunachotaka kuona sisi ni maendeleo. Mji safi, barabara, hospitali, umeme, masoko ya kisasa, shule za sekondari, vyuo nk. nk.
hahahaahahahh Mwanamalundi hhaahahahahaIt doesnt matter. Whether Kigamboni ipo temeke, mbagala, ilala, keko or Lindi region, we dont care. Haituhusu. Tunachotaka kuona sisi ni maendeleo. Mji safi, barabara, hospitali, umeme, masoko ya kisasa, shule za sekondari, vyuo nk. nk.
Wanaogopa kilichowapata viongozi wenzao kule Mtwara
dawa nikuwachomea nyumba tu hamna loloteHilo ni la Tibaijuka na madiwani, siyo la wananchi. Madiwani ndio waliodhurika kwa Kigamboni kutolewa Temeke, siyo wananchi. Amegundua bado anawahitaji ili ashirikiane nao kuendeleza utapeli, uongo na dhuluma zake. Kwa pamoja yeye na madiwani njaa wataendelea sasa na KDA.
Wananchi bado wanalilia hawakushirikishwa katika maamuzi ya mji mpya. Kule Mtwara wabunge na madiwani walipelekwa hadi ulaya (hongo), lakini ilipofika zamu ya wananchi hata hao wabunge na madiwani hawakufaa kitu. Ndicho Tibaijuka anatakiwa kujifunza. Anapoteza muda na pesa za serikali bure, mwishoni atapata presha.
Hiyo KDA alianzisha kwa ridhaa ya nani? anaropoka sana kwamba wananchi walishirikiswa. Lini? Mwaka jana alipanga kufanya mikutano kila kata ikatangazwa hadi kwenye vyombo vya habari na tovuti ya wizara. Alipofanya mkutano wa kwanza tu na kuulizwa maswali magumu hakurudi tena na wala hakutoa taarifa kwamba hataendelea na mikutano yake. Badala yake akaanza kuwahonga baadhi ya madiwani na wenyeviti wa mitaa. Hivyo anafanya kazi nao na ndio wanaohalalisha utapeli na uongo wa Tibaijuka. Wanamchuna tu, wainga ndio waliwao!
Kwamba kila mwananchi atalipwa fidia stahiki. Fidia stahiki ni nini? Atalipa nini na kwa kipimo gani? Atalipa kuanzia 2008, au analipa tu vinavyoonekana kwa macho wakati wa tathmini?
Tibaijuka kaingia makubaliano na wachina na waOman bila ridhaa ya wananchi. Aweke hayo mawasiliano yake yote na Wawekezaji (wote, waliokubali kuwekeza na waliokataa) hadharani ili wananchi wayajadili. Amehongwa bei gani na hao wachina na waarabu hadi akawakubalia wao ndio wawekezaji wa Kigamboni? Maafisa wake wamehongwa bei gani?