Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

Sasa mkuu huo Mji si unachangamshwa kibiashara na wageni! Hasa Wasukuma. Ila ukija kwa wenyeji, mambo siyo mepesi hata kidogo.

Nimeishi miaka mingi sana Ifakara. Ila ukiilinganisha na Njombe, naona kama Njombe iko juu zaidi ya Ifakara. Ifakara ingelinganishwa na Mji kama Kilosa vile, hakika Ifakara ingetisha mbaya.
Mkuu wageni mara nyingi ndio wanaoleta mabadiliko kwenye miji mingi, sio onaona hata dar wazaramo wenyewe hali zao za kimaisha ni za kawaida tu, na wala sio wao wanaomiliki maghorofa, ni wageni tu
 
Ifakara hakuna hata club...wanashindwa hata na malinyi
Na ukienda Ifakara msimu wa kung'olelea mpunga (march mpaka Mei) aisee huwa kunapooza sana!

Yaani mishe mishe na kuchangamka ni wakati wa mavuno na kiangazi (Juni mpaka Disemba)! Mfano ukienda leo Ifakara, ni lazima utafurahia zile mishe mishe za watu. Ila baada ya hapo, kunadorora tena!
 
Njombe ni mdogo wake na Mbeya. Ilijengwa kiholela kama Mbeya.
Njbe vijijini kulijengwa vizuri kuliko vijiji vya mikoa mingene.
 
Na ukienda Ifakara msimu wa kung'olelea mpunga (march mpaka Mei) aisee huwa kunapooza sana!

Yaani mishe mishe na kuchangamka ni wakati wa mavuno na kiangazi (Juni mpaka Disemba)! Mfano ukienda leo Ifakara, ni lazima utafurahia zile mishe mishe za watu. Ila baada ya hapo, kunadorora tena! As

Na ukienda Ifakara msimu wa kung'olelea mpunga (march mpaka Mei) aisee huwa kunapooza sana!

Yaani mishe mishe na kuchangamka ni wakati wa mavuno na kiangazi (Juni mpaka Disemba)! Mfano ukienda leo Ifakara, ni lazima utafurahia zile mishe mishe za watu. Ila baada ya hapo, kunadorora tena!
Wakati wa kung'olelea ni kipindi cha masika mvua ni nyingi sana, so kupooza ni kawada kwasababu watu wengi wanashindwa kutoka majumbani kwao sababu ya mvua na radi nyingi. Punguza vikwazo Ifakara kumekucha ndugu.
 
Na ukienda Ifakara msimu wa kung'olelea mpunga (march mpaka Mei) aisee huwa kunapooza sana!

Yaani mishe mishe na kuchangamka ni wakati wa mavuno na kiangazi (Juni mpaka Disemba)! Mfano ukienda leo Ifakara, ni lazima utafurahia zile mishe mishe za watu. Ila baada ya hapo, kunadorora tena!
Sure mkuu..na mvua zikinyesha ni kero
 
Yaani njombe wakinga na wabena wakiacha Mambo yakiwakiwaki ya kukazia wageni ni mkoa mmoja wenye maendeleo ya makubwa Sana yaani huku wachina na wakenya wapo Sana Ila wahindi na wachaga wanapigwa spanner na mkinga Ila bila ya hivyo njombe ni Moto wakuotea mbali
 
Ukishakuwa mkoa totaongeza mkuu wa mkoa na watumishi wengineo mfano RPC na wachini wao,swali kwa sasa ikiwa wilaya mnakosa nini?
 
Back
Top Bottom