Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,448
- 25,833
Huskvarna (Husqvarna) ni mji mdogo uliopo mashariki mwa Jönköping katika nchi ya Sweden, jin la huu mji lilitokana na kiwanda kikubwa maarufu kilichokua kinatengeneza Bunduki kuanzia mwaka 1680, kiwanda hicho kiliweza kuuza Bunduki katika majeshi ya Sweden na Norway. Baadae kiliacha kutengeneza Bunduki na kujikita katika utengenezaji wa vyerehani, chainsaw, baiskeli na pikipiki hadi hii leo.
Ukiachana na umaarufu wake huo pia Husvarna imekuwa na historia ya watu wake kuwa na utamaduni wa kijamaa na mitindo ya kuvutia ya maisha.
Kwa wale wahenga (Old-Timers) na wapenzi wa maisha ya zamani (Enzi hizo)......mitindo ya mavazi, magari ya zamani, mandhari za zamani, nyimbo za zamani, tamaduni za zamani na maisha ya mahusiano ya zamani.....
Hizi ni baadhi ya picha za bwana Evert Ardensson ambaye aliweza kuzidocument 1970s kwaajili ya vizazi vijavyo.