Mji wa Dar es Salaam Vs Mji wa Maputo

Mji wa Dar es Salaam Vs Mji wa Maputo

DAR ES SALAAAAAAAAAAAAAAAAAAAM !!!!!!!!!!!!!! kwa hisani ya ndanda .....


10703569_1555586881327294_5886771316067556999_n.jpg



10377612_1542444239308225_3366416119720157670_n.jpg


10626602_1545071022378880_3744016341309458289_n.jpg

Hii ya mwisho ilikua sio siku ya mgao wa umeme!!...lol
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi kuna mmakonde mmoja wa Msumbiji ananitambia hapa, anasema Maputo imejengeka, umepangika na ina ustaarabu mkubwa kuliko Dar.. Ananiambia Dar haifikii hata robo ya Maputo kuanzia kwenye investment za majengo, hotels na beach nzuri kama Miami.. Miundombinu ya barabara pia anasema iko vizuri mno.. Pia mzunguko Wa biashara ni mkubwa kuliko dar

Jamaa kanitambia mpaka nimewish nitake a vacation there, kama kuna ambae ashafika hebu aprove kama hayo ya huyo mmakonde ni ya kweli au lah

Miji mingi ya kiafrika inafananafanana na huwa ni mizuri kwenye city center ila ukichepuka kuingia uchochoroni ni maajabu yaleyale tu...mfano mtu apige aerial photo ya Posta, halafu mwingine apige picha ya tandale ...ni vigum kukubali kuwa ni mji uleule wa Dar

Maputo sipajui ila navyoona miji ya Kampala, Bujumbura na Kigali ilivyo ni rahisi kujenga hoja kuwa hata hiyo Maputo haina jipya kwa Dar..kwa usafi ungesema Bujumbura ndio mji unaojitahidi kwa hilo kwa hii miji jirani.
 
Maputo, beira zilijengwa na wazungu kwa nguvu kubwa mpaka 70s, dar ilijengwa na wahindi mpaka 60s.
Kwa mtazamo huo maputo ipo juu kwa miundo mbinu.
Ukiangalia vema maghorofa ya dar ni viwanja kwa wawekezaji, baada ya miaka 15 hata Nairobi itakuwa imepitwa na dar ila la msingi maendeleo hayo yanamnufaisha nani kwama wazalendo viwanja vyetu vipo chanika, magomeni 200m nani mwenye nayo.
 
Sam,
You're very right, hapa watu wanafuata maslahi yao tu! Waandishi wa habari wa haya magazeti yetu ambayo BWM amewahi kuyaita bado yako kwenye "Primitive Age"(ref CNN Khan), wabunge wetu ambao wnaona haya kusema ya IPTL, "real abomination and disgusting"; hasa kuona watu wazima tunaburuzwa kama matrekta. Are you seeing any future for such a country? We never had a civil war, any strife, but still economically and social political we are classified in the same group with Somalia and congo DRC!! Vanity!

Look here: The top 10 richest countries in Africa are (in order): Mauritius, South Africa, Botswana, Seychelles, Namibia, Tunisia, Libya, Algeria, Gabon and Swaziland.

Of the top 10 poorest countries in Africa Somalia, Sierra Leone, Comoros, Eritrea, Ethiopia, Niger, Malawi, Tanzania, Congo DRC, Chad

Ni kweli mkuu.. Japo wachangiaji wengine hapo juu wamesema Maputo hakuna slams kiivyo japo mji wao ni mchafu kuliko dar.. Hapo ndipo ninapopata wasiwasi, kama mji ni mchafu kuliko dar si ni balaa hilo
 
Maputo, beira zilijengwa na wazungu kwa nguvu kubwa mpaka 70s, dar ilijengwa na wahindi mpaka 60s.
Kwa mtazamo huo maputo ipo juu kwa miundo mbinu.
Ukiangalia vema maghorofa ya dar ni viwanja kwa wawekezaji, baada ya miaka 15 hata Nairobi itakuwa imepitwa na dar ila la msingi maendeleo hayo yanamnufaisha nani kwama wazalendo viwanja vyetu vipo chanika, magomeni 200m nani mwenye nayo.

Ni kweli hapa dar patapangika??? Tutaweza kulijenga liwe kama jiji kwa kuzingatia sewage system nzuri na miundombinu mizuri kama ya wenzetu wa South Africa (Johannesburg)
 
Hiyo miji yote mnayoisifia ukiacha Dar imejengwa na Wakoloni wakati Dar imejengwa Watanganyika,mijikama Luanda ,Windhoek,Halare,Maputo ,Nairobi imejengwa na wakoloni ambao walidhani wangeishi milele katika nchi hizo.Kwa Tanzania Waingereza hawakuwa na mpango wa kukaa moja kwa moja na ndio maana hawakuhangaika kujenga ni tofauti na nairobi ambapo bado kuna raia wa Kiingereza ambao ndio wameshika uchumi wa Kenya na wanaishi kwa wingi Bonde la Ufa
 
Mimi sijafika Maputo ila wabongo tunapenda sana kujidharau. Yaani mtu akianzisha mada ya kuidharau Tanzania unaweza kujiuliza kama wachangangiaji ni watanzania au watu wa mataifa mengine. Naomba nieleweke hapa udhaifu upo mwingi na inapofika muda wa kuwasema viongozi tuwaseme na na tuwaondoe wanapozingua lakini hii tabia ya kudharau kila kinachotoka Tanzania sio nzuri na haitusaidii kwenda popote. Sanasana tunafanya watoto na wadogo zetu washindwe kujiamini kwenye soko la kimataifa.

Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom