Mji mzito huu

Aliyezimia n nsanii wa Congo, Deffoe km unamkubka aliliwa mande na aluyekua boss wetu wa ATCL had, kulazwa hospital,
Usihangaike sana bwana mataqqqqq ndio zake anawapelekea Moto vijana hatari, Defao akiishiwa hela kipindi amekuja akapewa papaa mataqqqqq amshughulikie, mkongomani mkorogo ulimuisha daaadeki.

Na yule mzee huwa haoni noma kusimulia mpaka anakauka mbavu.

Hivi na vidimpo anaonekana nae yumo kwenye group la bii kumi na mbili au sio? Maana nae mmmhh hajambo
 
limbwata la Meghan likasome...!!!hahaha...daah!
Yaani dunia hii...yetu macho Dada akiwaza kurudi kudangana ni bora atulie tu na bwana basha

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mnyaturu wa Singida vs Mmwera wa Lindi!


Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…