Magnificient JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 1,177 Reaction score 734 Apr 30, 2014 #1 Mjerumani alipanda na mswahili lifti kuelekea ghorofa za juu jengo la ghorofa nyingi, akamuuliza mswahili apate kujua Mjerumani : Hivi ni kweli mtanzania ukimuuliza swali naye anakuuliza swali? Mswahili : Wewe kakuambia nani?
Mjerumani alipanda na mswahili lifti kuelekea ghorofa za juu jengo la ghorofa nyingi, akamuuliza mswahili apate kujua Mjerumani : Hivi ni kweli mtanzania ukimuuliza swali naye anakuuliza swali? Mswahili : Wewe kakuambia nani?
Murano JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 2,056 Reaction score 1,129 Apr 30, 2014 #2 duh!! inakera hiyo... mswahili katisha hahaha
Jay Msimamo Member Joined Jul 11, 2013 Posts 92 Reaction score 17 Apr 30, 2014 #3 Ehahahahaha Li Tz Bana et We kakuambia Nanii!?