Ilitakiwa ipelekwe siasaModerators naomba muiweke jukwaa husika tafadhali.
Beberu hafui dafuIcho kidevu kibaya kinoma
Ilitakiwa ipelekwe siasa
watu waanjaa, eti..., are u blind...''. Huoni kwamba tunafanya maendeleo hapa? watakumeza watu lazima?[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 793894
Nahisi ujenzi hauko coordinated, kuwa anajenga nini haswa! Hapa, kule, pale, n.k.watu waanjaa, eti..., are u blind...''. Huoni kwamba tunafanya maendeleo hapa? watakumeza watu lazima?
Naona kama anatumia nguvu nyingi lakini tija kidogo, maana hilo jasho linalomtoka na kazi yenyewe!Haswaa.., he is not a sytematic person.