Mjengo kama huu ungekuwa Tanzania

Decatur kijijini sana mkuu! Sogea mjini kidogo uone bei zake! Hapo ni karibu na Chicago so check mjini na kuzunguka Chicago IL
 

Yes tofali likipoa wakati wa snow mzee kulipasha muishi ni mtihani umeme wake!
 
Decatur na Dar wapi town?

City za Marekani unalinganisha na za Marekani huwezi kulinganisha na za bongo mkuu, ni sawa na kulinganisha maembe na mananasi! Anyway maana yangu ni kwamba bei hiyo ni ndogo kwa sababu ni mji mdogo na hauna mauzo sana ya nyumba, nyumba kama hiyo ikiwa city kubwa kama Chicago ambapo ni 2 hours drive toka Decatur inakuwa na bei mara 3 hadi 5 ya bei hiyo, japo pia inategemea na mitaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…