US nyumba nyingi karibu 90% zinajengwa kwa mbao, matofali yanatumika kwenye foundation tuu na basement,ni nyumba imara sana na zinakaa hata zaidi ya miaka 100, sababu kubwa ya kutumia mbao ni hali ya hewa, kwenye baridi kujenga kwa matofali ni kutafuta msibahamna kitu mbao
US nyumba nyingi karibu 90% zinajengwa kwa mbao, matofali yanatumika kwenye foundation tuu na basement,ni nyumba imara sana na zinakaa hata zaidi ya miaka 100, sababu kubwa ya kutumia mbao ni hali ya hewa, kwenye baridi kujenga kwa matofali ni kutafuta msiba
Mchwa hawawezi kula zile mbao, kuna process zinafanyiwa kabla hazijatumikamambo ya mchwa hawana hawa
Wenzio washafikilia hayo.mambo ya mchwa hawana hawa
Mbao gani unazungumzia, unadhani wanajenga kwa kutumia Mninga?Mbao ni ghali kuliko tofali kiongozi
Decatur kijijini sana mkuu! Sogea mjini kidogo uone bei zake! Hapo ni karibu na Chicago so check mjini na kuzunguka Chicago ILMjengo kama huu ungekuwa upo kwenye jiji ambalo hata maji ni shida ungeambiwa ni bilioni moja kuukamilisha!, lakini ulaya bei yake ni usd 89,900 sawa na 20856
View attachment 2404269
8000tsh!(milioni mia mbili na nane laki 5 na Elfu sitini na nane)View attachment 2404270
US nyumba nyingi karibu 90% zinajengwa kwa mbao, matofali yanatumika kwenye foundation tuu na basement,ni nyumba imara sana na zinakaa hata zaidi ya miaka 100, sababu kubwa ya kutumia mbao ni hali ya hewa, kwenye baridi kujenga kwa matofali ni kutafuta msiba
hamna kitu mbao
Mbona sijaona jipya la kukupagawisha hapo?Mjengo kama huu ungekuwa upo kwenye jiji ambalo hata maji ni shida ungeambiwa ni bilioni moja kuukamilisha!, lakini ulaya bei yake ni usd 89,900 sawa na 20856
View attachment 2404269
8000tsh!(milioni mia mbili na nane laki 5 na Elfu sitini na nane)View attachment 2404270
Fafanua uhusiano wa mbao na tofari kwenye baridiUS nyumba nyingi karibu 90% zinajengwa kwa mbao, matofali yanatumika kwenye foundation tuu na basement,ni nyumba imara sana na zinakaa hata zaidi ya miaka 100, sababu kubwa ya kutumia mbao ni hali ya hewa, kwenye baridi kujenga kwa matofali ni kutafuta msiba
Decatur na Dar wapi town?Decatur kijijini sana mkuu! Sogea mjini kidogo uone bei zake! Hapo ni karibu na Chicago so check mjini na kuzunguka Chicago IL
Kutoka huko hadi town road si ni mkeka tu na huduma zote muhimu zipoDecatur kijijini sana mkuu! Sogea mjini kidogo uone bei zake! Hapo ni karibu na Chicago so check mjini na kuzunguka Chicago IL
Decatur na Dar wapi town?
Kutoka huko hadi town road si ni mkeka tu na huduma zote muhimu zipo