Mjengo kama huu ungekuwa Tanzania

City za Marekani unalinganisha na za Marekani huwezi kulinganisha na za bongo mkuu, ni sawa na kulinganisha maembe na mananasi! Anyway maana yangu ni kwamba bei hiyo ni ndogo kwa sababu ni mji mdogo na hauna mauzo sana ya nyumba, nyumba kama hiyo ikiwa city kubwa kama Chicago ambapo ni 2 hours drive toka Decatur inakuwa na bei mara 3 hadi 5 ya bei hiyo, japo pia inategemea na mitaa!
Kwahyo anayejenga dar kwa bei mara 3 ya hiyo au anyeinunua huko Decatur yupi mwenye akili? Yupi anapigwa?
 
Kwahyo anayejenga dar kwa bei mara 3 ya hiyo au anyeinunua huko Decatur yupi mwenye akili? Yupi anapigwa?

Hamna anayepigwa, kila mtu anafanya kinachompa furaha na kutimiza mahitaji yake! Huyo wa Dar angekuwa na access probably angenunua Decatur. Kuwa na akili au kutokuwa nazo ni subjective na kila mtu ana definition yake ya akili!
 
Okay, basi yupi anapata better deal.
Nikimaanisha thamani ya hela anayotoa kwa huduma anayopata?

Thats not subjective.
 
Naomba kujua madhara ya tofali wakati wa baridi mkuu maana najiuliza sana kwann wenzetu wanatumia sana mbao kuliko tofali

Kimsingi hawatumii mbao tupu ila wanatumia materials zinapokea na kupoteza joto haraka! Msimu wa baridi joto linashuka sana wkt mwingine minus 30-35 degrees so hamna mtu anaweza kuishi humo bila kuheat! Sasa fikiria ndio ingekuwa tofali zimetumika utatumia energy kiasi gani kulipasha lifike angalau room temperature?! Halafu pia changes za joto za namna hiyo ingekuwa inapata cracks sana kwa expansion na contraction! Unaona kama mbao ila sio ni panels za aina mbalimbali zimetumiwa hapo. Just physics kidogo
 
Kimsingi hawatumii mbao tupu ila wanatumia materials zinapokea na kupoteza joto haraka! Msimu wa baridi joto linashuka sana wkt mwingine minus 30-35 degrees so hamna mtu anaweza kuishi humo bila kuheat! Sasa fikiria ndio ingekuwa tofali zimetumika utatumia energy kiasi gani kulipasa lifike angalau room temperature?! Halafu pia changes za joto za namna hiyo ingekuwa inapata cracks sana kwa expansion na contraction! Just physics kidogo
Asante kwa ufafanuzi nimeongeza kitu kichwani
 
Ujunzi Tanzania ni rahisi sana hasa ukiwa mafinga ni rahisi mno iyo nyumba ukiwa mafinga ukiwa na 45M unaijenga...
Unajua ujenzi wa mbao au unaskia...hata wahandisi wana uogopa huo kusimamia...
1.Mtiti wa kuweka structure, isimame bila kuyumba.
2.Insulation ya Hilo jengo ni gharama si kitoto.
 
Kimsingi hawatumii mbao tupu ila wanatumia materials zinapokea na kupoteza joto haraka! Msimu wa baridi joto linashuka sana wkt mwingine minus 30-35 degrees so hamna mtu anaweza kuishi humo bila kuheat! Sasa fikiria ndio ingekuwa tofali zimetumika utatumia energy kiasi gani kulipasha lifike angalau room temperature?! Halafu pia changes za joto za namna hiyo ingekuwa inapata cracks sana kwa expansion na contraction! Unaona kama mbao ila sio ni panels za aina mbalimbali zimetumiwa hapo. Just physics kidogo
Actually ni kwenye Nyumba za nje ya miji tu. Ila katikati ya jiji,apartments zao zote zinajengwa kwa matofali ya kuchoma/blocks ...

Matilio za kupokea na kupoteza joto kwa uharaka...haiwezi Faa kwenye mazingira ya baridi.
 
Back
Top Bottom